Uchaguzi 2020 Siku Tano mgombea Urais wa CCM hafanyi kampeni, Kulikoni?

Safi kupumzika kwake siku tano maana yake mambo yanaenda vizuri hana haja ya kuwa na presha.
 
Wasmbie wasifanye mwaka huu huo mchezo wao dunia nzima inafuatilia kila kinachoendelea .
 
Nchi ina miaka 59 hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, pesa nyingi inapotelea kwenye mambo yasiyo na tija kwa Taifa, CCM wametumia mda mwingi kudidimiza demokrasia kuwahujumu chadema kuua upinzani kuwabambikia kesi wapinzani badala ya maendeleo, kama siyo CCM mda huu Tanzania ingekuwa ni Nchi tajiri kuliko mataifa mengi Duniani na ingekuwa na kura ya veto, lakini CCM wanachukua pesa za viwanda zinatumika kurejesha mfumo wa chama kimoja kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge na mambo mengi ya hovyo
 
Mchezo gani huo ? kuwashinda wapinzani kwenye uchaguzi? mnachaguliwa mkapinge ili kukamilisha matakwa ya katiba kuwa nchi ina upinzani.
Nini kazi ya upinzani? Maana ya upinzani ni kupinga vyote vya hovyo vinavyofanywa na CCM
 
Jiwe alivyopoa kama maji ya mtungi Lissu noma sana .Nikikumbuka Kauli zake za kibabe ndani miaka hii mitano halafu alivyopoa ghafla sijui kapatwa na nini ? Lissu utaua mtu .
 
Mzee ana pumzi ndogo sana ya kuchana freestyles kwenye beats za Lissu, hivyo lazima amwombe DJ a break kidogo na kuplay jingo za wadhamini wa kipindi (Kina polepole na bashiru)

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtukufu kagundua kuwa watanzania hawataki kusikia vitu vinaitwa Ndege flyover bwawa la umeme reli kwani vina ufisadi wa kutisha mno ndiyo maana CAG hajakanyaga huko
 
Jiwe alivyopoa kama maji ya mtungi Lissu noma sana .Nikikumbuka Kauli zake za kibabe ndani miaka hii mitano halafu alivyopoa ghafla sijui kapatwa na nini ? Lissu utaua mtu .View attachment 1582389
Alijinadi ni Rais wa wanyonge lakini watumishi wa umma ambao ni sehemu ya wanyonge hawajalipwa nyongeza za mishahara kwa miaka mitano
 
Huyu mzee akisikia taarifa kama hizi anazidiwa sana presha .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…