Siku umeugua ghafla mke/mume akiambiwa akae na simu yako utakuwa na amani kweli?

Siku umeugua ghafla mke/mume akiambiwa akae na simu yako utakuwa na amani kweli?

Cheat sawa but na mwanamke anyejitambua siyo kila kitu twende huwa inawacost.

Mfano,angalia Davido anavyodhalilishwa kwa kuchepuka na mwanamke kichaa huko marekeni.Anaanika chats zao, mara afanye PT insta live, mara amuingize mkewe Davido kwenye drama..

Siyo kila mtu wa kulala nae, Vingine viwapite.
Nakuunga mkono katika hilo, sio kila mtu wa kulala nae. Choose wisely, japo kuna wakati mihemko inachukua nafasi kubwa katika kufanya maamuzi, inatukosti.
 
Inategemea na mtu.Binafsi mwakani nitakua 30 but I stopped flirting at the age of 26.

Kuanzia 16yrs( nilivyomaliza form 4 ) mpaka around 24 yrs, nimeflirt sanaaaa mpaka saiv naona ni utoto.

Ukifika 27 yrs, Usipende ku entertain ujinga ujinga au mazoea zoea ya hovyo aka sex chats na kila mtu hata kama si type yako.
Tumelingana umri tukaze maisha haya, wewe uko na akili kama zangu at 27 niliacha ujinga.
 
Wife akishika simu kuangalia gallery unaogopa texts isije kuingia[emoji3][emoji3] hatari mkuu.
[emoji23][emoji23]
Hii kitu huwa inanipagawisha acha tu, ukitaka kuichukua unaona zengwe akikurudishia kimoyo kinatulia. Ila wa kwangu anajua pattern zote sema simu yangu ina maajabu yake, ni two in one. Kwa hiyo yale mazagazaga yapo kwenye second space na huo ujanja hana anaishia first space tu.
 
Mkuu Watu8 ni mkufunzi😁😁😁anatakiwa kutoa somo kwa vijana namna ya kuishi, atafute upande, afundishe either wachepuke kwa tahadhari au waachane na hizi mambo as hazina manufacturers yoyote. Tatizo ni kuwa unaweza usiwe cheater physically, ila emotionally...yaani hizo flirts zako zinatosha kumfanya wife wako akose imani na wewe. I was once caught to be honest!

Huyo Mzee mwenzangu namuelewa si umeona alivyoweka intro kama advertize kwamba unakua na simu ya kazi maalum Kwa muda na wakati maalum na haibebwi hovyo Kila mahali.

Nimekuelewa Mkuu, ndio maana kwenye post yangu nikaandika unawezakujiibgiza kwenye matatizo simply unavyo wasiliana na mtu kwa ukakasi.
 
Mkuu Watu8 ni mkufunzi😁😁😁anatakiwa kutoa somo kwa vijana namna ya kuishi, atafute upande, afundishe either wachepuke kwa tahadhari au waachane na hizi mambo as hazina manufacturers yoyote. Tatizo ni kuwa unaweza usiwe cheater physically, ila emotionally...yaani hizo flirts zako zinatosha kumfanya wife wako akose imani na wewe. I was once caught to be honest!

Mkuu mimi nishastaafu hizo nyanga za kuamshana hisia maana kila nilipojaribu matokeo yake yalikuwa chanya na kuishia kutafunana tu...

Wanawake huwa wanasema wanaume ni wadhaifu, but trust me wanawake ni wadhaifu sana kuliko sisi wanaume, unatakiwa ujue tu ni buttons zipi za kubofya kuangusha mbuyu...

Back then nilikuwa msomaji sana wa majarida na articals za arts of flirting, na ikawa inanifanya whatever i read naitumia practically, guess what bro "migomba" mingi sana nimeiangusha...

But later unakuja realize, hayo si maisha ya kuyaishi maana ikiwa ni trend unajikuta unakuwa addicted na hakuna faida yoyote unapata...
 
Upo sahihi kabisa mkuu, mwisho wa siku unachoka na kuona unapoteza mda wako tu.
 
Back
Top Bottom