Mzazi wa huyu dogo ndie mzazi mjanja kuliko wote. Hela anazoo za kutosha tu..
jumba zuri la ghorofa na magari kibao. Ila Watoto wake wanasoma kayumba kuanzia msingi mpaka A level. Na bado watoto wake wanapata A zotee hakuna kufeli.
Yaani ada sisimizi ila matokeo temboo
Mtoto ukimsimamia vizuri huitaji kumpeleka shule za kukupa stress za kukopa muda wa school fees . Mfano huyu dogo na kayumba zake ila kuna sehemu anaongelea extra callicular activity yake ya piano anavyopigaga kanisani ( maana yake ana access na piano toka mdogo). Na kuna sehemu anachombeza kwa lugha za kina tusiime. Yaani kaandaliwa vizuri
Kuna wazazi wanajitesa sana kwanza wanaishi nyumba za kupanga chumba sebule na stress za kodi, kazi za mishahara midogoo ila wanakopa huku na huku na kulipa ada za mamilioni kwenye shule za kina junior wenyewe wanaziita Tusiime. Mwisho wa siku mtoto anakuwa na stress za kudaiwa daiwa school fees na za kulala sebuleni maana mzazi hana nyumba kubwa ya kumpa chumba chake kama mtoto mwisho wa siku mtoto anafeli tu.
Wazazi wanapaswa kumuiga huyu mzazi mjanja wa elimu