Siku wazazi wakitumia mbinu za mzazi huyu familia zitaendelea. Hela anazo nyingii ila ada analipa ndogo na mtoto anapata A zote O level na A level

Siku wazazi wakitumia mbinu za mzazi huyu familia zitaendelea. Hela anazo nyingii ila ada analipa ndogo na mtoto anapata A zote O level na A level

Shule kongwe za serikali huwa ziko vizuri, kuanzia walimu, mazingira ya kusomea, pamoja na vitabu vya kutosha

Vipi kuhusu shule za msingi za serikali za swahili medium ? Maana huyu toka la kwanza ni kayumba tu na nyumbani ni mambo safii
 
Kama umempeleka mwanao na akashindwa kujua kiingereza kadai ada yako
Inategemea na shule uliyompeleka. Asilimia kubwa ya wanafunzi wa sekondari waliosoma shule za english medium hawaongei na kuandika kiingereza kilichonyooka, japo kuna uafadhali ukilingisha na wale wa kidumu na mfagio.
 
Usipojiamini kamwe utakua kilaza. Degree mbili hujui kuongea yai. Yani msomi mzima unakosa hata rafiki wa nje ya nchi ambaye mtabadilishana mawazo
 
Nimefungua account ya dola nimeanza kusave 40 per month kwa ajili ya mtoto wangu akasome nje I mean Ulaya baada ya madomo yake ya secondary

God help my ass
 
Baada ya kujigundua sijui Kiingereza pamoja na kuwa na digrii mbili mkononi, niliapa sitaruhusu huu ujinga uwafuate watoto wangu. Yaani mimi pamoja na elimu yangu hii nimeambulia maneno machache sana ya kuongea... "The... The...ofkozi... bikozi.... the... ",leo hii kabinti ka form one kananifundisha english sanifu na kichina!!
Kwenye malezi kila mtu na mfumo wake.
Mkuu yan umenigusa aisee, pamoja ni kupata div 1 Olevel na alevel ila kiingereza changu cha papatu papatu [emoji3]..
Huu ujinga siwez ruhusu kwa watoto wangu,niliwah aibika kwenye interview moja mpka wakaanza kuquestion vyeti vyangu sasa mambo gani hayo..

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Mbahili tu na ujinga wa kutaka sifa. English muhimu kwa dunia ya sasa
Baki hapo na fikra zako za kitumwa. Warusi na wachina wako wapi na iyo English yako
 
Uongo mtupu, ni vile wanafunzi wanakomaa ili watusue,
Tena special school ndo kabisa.
Hizo shule huwa zinazidiana matatizo tu,kuna mwanafunzi alihama Minaki akaenda Tosa, anafika anakuta mtu anapambana ahame aende Minaki.

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom