Siku ya Kwanza kumiliki SUV sikulala!

Jamaa wewe faller sana, tumetokwa povu kukutea kumbe gari hata hujanunua?
Unajikomba ili iweje?
Umefaidi nini?
uttoh2002
Hata sielewi ulichoandika, hapa yalikuwa twajadili hili gari, sasa sijui ulikuwa unajitetea nini Mimi? anyway, siku njema!
 
Hata sielewi ulichoandika, anyway, siku njema!
Nimeku tag tu lakini imedhihirika kuwa hii gari iko befoward na ilinunuliwa na jamaa wa Malawi...alikuwa ikitoa shukrani kwa kampuni, nimefuatilia nami nimejiridhisha ni kweli.
Used 2003 LAND ROVER RANGE ROVER VOGUE/GH-LM44 for Sale BK265563 - BE FORWARD
 

Ha ha ha aha aha ha aha aha aha ha aha ha ha aha ah! Nimekuelewa!

Mnajuankufuatiliya kweli, ndo maana kanyamaza Kimya!
 
Nakubaliana nawe in part ila kwa performance BMW V8 is the fastest SUV hakuna cha Porche, Landcruiser etc nadhani ktk experience yako uliendesha BMW X5 v6 not the mammoth X5 V8 twin-turbo charged yenye 612 Horse power on it ni dude moja ukikaa humo siwezi nikakueleza ukaelewa. Tafiti utakubali mwenyewe.
 

Ni kweli hiyo ni mashine nyingine
Ntajaribu siku moja
Ntaleta mrejesho
 
Mwenye masikio na asikie...
 
Hahaha kweli asee

Unakumbuka mambo ya padri mcharo?[emoji16][emoji1787][emoji1787]

Nilikuwa nacheka kipindi hicho mpaka napasuka mbavu

ID kibao vituko vilevile[emoji23][emoji23]
πŸ˜ƒπŸ˜ƒ Padri Mcharo alikuwa ni yeye? Dah!
 
Tupe uzoefu fuel consuption ikoje,na aina hii ya Range Rover ina ile gear ya kupandisha na kushusha chini...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…