Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeku tag tu lakini imedhihirika kuwa hii gari iko befoward na ilinunuliwa na jamaa wa Malawi...alikuwa ikitoa shukrani kwa kampuni, nimefuatilia nami nimejiridhisha ni kweli.Hata sielewi ulichoandika, anyway, siku njema!
Kweli mkuuDaaah ndugu yetu alijua hii ni FB au Whatsapp unaweka tu status..watu wamechambua hadi ilipouzwa gari...daaahhh
Nimeku tag tu lakini imedhihirika kuwa hii gari iko befoward na ilinunuliwa na jamaa wa Malawi...alikuwa ikitoa shukrani kwa kampuni, nimefuatilia nami nimejiridhisha ni kweli.
Used 2003 LAND ROVER RANGE ROVER VOGUE/GH-LM44 for Sale BK265563 - BE FORWARD
Hivi tangu apost amekoment chochote?Ha ha ha aha aha ha aha aha aha ha aha ha ha aha ah! Nimekuelewa!
Mnajuankufuatiliya kweli, ndo maana kanyamaza Kimya!
Nilimaliza secondary wakati wa vita vya Uganda
Ni mzee kweli ila bado nadunda na gari hilo sio gari la vijana
Road Tax nalipa £600 kwa mwaka (1.8m)
Insurance usiulize ila nalimudu
Niko mzigoni saa hiziView attachment 2089482
Hahaha kweli aseeWasiojua story zake watasumbuka sana[emoji2][emoji2]
Hivi tangu apost amekoment chochote?
Huyo uliyem quote namkubali kwny magari na akiku inspire Ni sawa kabisa lkn huyo wa range Rover ya uongo anaku inspire ujinga,utaingizwa Cha kike.
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Bora wawepo tu aisee wanafurahisha siku zinaenda wakiondoka pataboa humuHahaha kweli asee
Unakumbuka mambo ya padri mcharo?[emoji16][emoji1787][emoji1787]
Nilikuwa nacheka kipindi hicho mpaka napasuka mbavu
ID kibao vituko vilevile[emoji23][emoji23]
Nakubaliana nawe in part ila kwa performance BMW V8 is the fastest SUV hakuna cha Porche, Landcruiser etc nadhani ktk experience yako uliendesha BMW X5 v6 not the mammoth X5 V8 twin-turbo charged yenye 612 Horse power on it ni dude moja ukikaa humo siwezi nikakueleza ukaelewa. Tafiti utakubali mwenyewe.Kweli mkuu GTS za kuhesabu huku niliko kwa sasa maana jamaa wananiulizia kama naiuza especially tukikutana carwash
Well kuhusu Audis SUVs nimeziendesha sana na ni nzuri pia nazipenda
Kuhusu BMW mimi sio mpenzi wa hizo
Kuna wakati niliendesha ila tatizo lake sio stable na pia hata ufunge madirisha na upo speed utasikia muungurumo wa upepo and I hated it
Hili GTS mzee ukikanyaga accelerator unaona mwili unarudi nyuma kama unavutwa hapo ndio utaona nguvu ya Porsche
Ila kwa kuhitimisha kila mmoja anaangalia ipi anapenda zaidi
Nakubaliana nawe in part ila kwa performance BMW V8 is the fastest SUV hakuna cha Porche, Landcruiser etc nadhani ktk experience yako uliendesha BMW X5 v6 not the mammoth X5 V8 twin-turbo charged yenye 612 Horse power on it ni dude moja ukikaa humo siwezi nikakueleza ukaelewa. Tafiti utakubali mwenyewe.
Mwenye masikio na asikie...Ktk vitu sina mzuka navyo tena ni magari hasa personal cars...been there done that, over with it...ukiachana na maintanance cost kuna depreciation value...unanunua gari 55m, linakutia cost ya 5-10m during its time, na ukija kuuza ht 30m ni ya kupambania sana...kigari cha mwisho kuuza kilikua kirikuu cha biashara, hadi nakitoka bandarini 2016 kilikua 9.5m, last yr nakiuza nimeuza bodi na engine mswaki pesa yake hadi naona noma kuitamka, ht M hakikufika.
Nway kila mtu na ndoto zake, na ukiwa kijana ndoto za magari ni kubwa sana, ila with time unagundua u were wrong all the way.
Ushauri wangu Enjoy while it last.
😃😃 Padri Mcharo alikuwa ni yeye? Dah!Hahaha kweli asee
Unakumbuka mambo ya padri mcharo?[emoji16][emoji1787][emoji1787]
Nilikuwa nacheka kipindi hicho mpaka napasuka mbavu
ID kibao vituko vilevile[emoji23][emoji23]
Padri Mcharo si Mama Debora😃😃. Naona sikuhizi amepoaBora wawepo tu aisee wanafurahisha siku zinaenda wakiondoka pataboa humu
Hata sijui miePadri Mcharo si Mama Debora😃😃. Naona sikuhizi amepoa
😃😃😃 Unamuogopa?Hata sijui mie
Kwakweli aseeBora wawepo tu aisee wanafurahisha siku zinaenda wakiondoka pataboa humu