Siku ya Kwanza kumiliki SUV sikulala!

Siku ya Kwanza kumiliki SUV sikulala!

Jamaa wewe faller sana, tumetokwa povu kukutea kumbe gari hata hujanunua?
Unajikomba ili iweje?
Umefaidi nini?
uttoh2002
Hata sielewi ulichoandika, hapa yalikuwa twajadili hili gari, sasa sijui ulikuwa unajitetea nini Mimi? anyway, siku njema!
 
Hata sielewi ulichoandika, anyway, siku njema!
Nimeku tag tu lakini imedhihirika kuwa hii gari iko befoward na ilinunuliwa na jamaa wa Malawi...alikuwa ikitoa shukrani kwa kampuni, nimefuatilia nami nimejiridhisha ni kweli.
Used 2003 LAND ROVER RANGE ROVER VOGUE/GH-LM44 for Sale BK265563 - BE FORWARD
 
Ha ha ha aha aha ha aha aha aha ha aha ha ha aha ah! Nimekuelewa!

Mnajuankufuatiliya kweli, ndo maana kanyamaza Kimya!
 
Kweli mkuu GTS za kuhesabu huku niliko kwa sasa maana jamaa wananiulizia kama naiuza especially tukikutana carwash
Well kuhusu Audis SUVs nimeziendesha sana na ni nzuri pia nazipenda
Kuhusu BMW mimi sio mpenzi wa hizo
Kuna wakati niliendesha ila tatizo lake sio stable na pia hata ufunge madirisha na upo speed utasikia muungurumo wa upepo and I hated it

Hili GTS mzee ukikanyaga accelerator unaona mwili unarudi nyuma kama unavutwa hapo ndio utaona nguvu ya Porsche

Ila kwa kuhitimisha kila mmoja anaangalia ipi anapenda zaidi
Nakubaliana nawe in part ila kwa performance BMW V8 is the fastest SUV hakuna cha Porche, Landcruiser etc nadhani ktk experience yako uliendesha BMW X5 v6 not the mammoth X5 V8 twin-turbo charged yenye 612 Horse power on it ni dude moja ukikaa humo siwezi nikakueleza ukaelewa. Tafiti utakubali mwenyewe.
 
Ni kweli hiyo ni mashine nyingine
Ntajaribu siku moja
Ntaleta mrejesho
 
Ktk vitu sina mzuka navyo tena ni magari hasa personal cars...been there done that, over with it...ukiachana na maintanance cost kuna depreciation value...unanunua gari 55m, linakutia cost ya 5-10m during its time, na ukija kuuza ht 30m ni ya kupambania sana...kigari cha mwisho kuuza kilikua kirikuu cha biashara, hadi nakitoka bandarini 2016 kilikua 9.5m, last yr nakiuza nimeuza bodi na engine mswaki pesa yake hadi naona noma kuitamka, ht M hakikufika.
Nway kila mtu na ndoto zake, na ukiwa kijana ndoto za magari ni kubwa sana, ila with time unagundua u were wrong all the way.

Ushauri wangu Enjoy while it last.
Mwenye masikio na asikie...
 
Hahaha kweli asee

Unakumbuka mambo ya padri mcharo?[emoji16][emoji1787][emoji1787]

Nilikuwa nacheka kipindi hicho mpaka napasuka mbavu

ID kibao vituko vilevile[emoji23][emoji23]
😃😃 Padri Mcharo alikuwa ni yeye? Dah!
 
Tupe uzoefu fuel consuption ikoje,na aina hii ya Range Rover ina ile gear ya kupandisha na kushusha chini...
 
Back
Top Bottom