Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari - 2022: Rais Samia awahimiza wanahabari kuzingatia mila na desturi za Kiafrika

Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari - 2022: Rais Samia awahimiza wanahabari kuzingatia mila na desturi za Kiafrika

Mzee wa kufananisha sindiria na barakoa kapigwa 5-1 kwenye matusi hadi hapo.
Bongo ngumu sana. Halafu boya mmoja anawalaumu PR!
 
Badala ya kudeal na ugumu wa maisha na usalama duni anadeal na vitu vya hovyo vya wapiga deal

USSR
Sijaelewa ni kwanini rais anashughulishwa na mambo madogo sana hakai ofisini.
Naona 2025 inampa kihoro.
Washauri na wapambe wake wamejikita kumshauri kujenga mazingira ya kisiasa zaidi nadala ya kushughulikia kero za wananchi.
 
BAKWATA 0 - WANDISHI WA HABARI 1

Mungu anawaona BAKWATA & CCM kwa kusogeza sikukuu ya eid mbele (kutoka jumatatu hadi jumanne) kisa ugeni rasmi wa Samia katika balaza la eid wakati Samia anaratiba nyingine na waandishi wa habari
Anarudi Dar mkuu na ni mgeni rasmi baraza la Idd. Sala asubuhi ndio ilifupishwa ili mama awahi Ars.
Kwakweli Bakwata wanatukwaza sana waislamu

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Kwani wamesogeza mbele eid na wakati eid ni leo. Na unajua dini ya kiislam mwanamke ahudhurii msikitini wala kuongea mbele ya masheikh
Uislamu upi ambao wanawake hawahudhurii misikitini?
Hilo la kuzungumza mbele ya wanaume bakwata hawalijali. Ukitaka kuamini,subiri jioni kwenye baraza LA Idd

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom