FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Unaanza kumpara sasa. Shauriyo.Mafisadi yakisikia ivyo watasherekea
Wale waliomkuna kulipia royal tour sijui watakunwaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaanza kumpara sasa. Shauriyo.Mafisadi yakisikia ivyo watasherekea
Wale waliomkuna kulipia royal tour sijui watakunwaje
Sijaelewa ni kwanini rais anashughulishwa na mambo madogo sana hakai ofisini.Badala ya kudeal na ugumu wa maisha na usalama duni anadeal na vitu vya hovyo vya wapiga deal
USSR
Mixer kupapasana!!!Raha ya muwasho ukunwe na raha ya kukunwa upate mkunaji [emoji3][emoji3][emoji3]
Pambe tu😂😅😅raha ya kupapaswa uhisi mpapasoMixer kupapasana!!!
Sema hiyo avatar yako kibokoPambe tu[emoji23][emoji28][emoji28]raha ya kupapaswa uhisi mpapaso
Umemtelekeza lisu na chadema siku hizi?Mataga....teh teh zamu ya UKAYAFA ilishaondoka...ccm hoyeeee
Tulia 😅😅😅Sema hiyo avatar yako kiboko
Unajifariji tu.Kunywa sumu ufe
Kama umechukia hama nchi
Tunalamba asali sisi
Dini ni ile ya mtu huyohiyo mungu huyohiyo mwana,huyohuyo akamtia mimba mama yakeUislam sio dini ni ile
USSR
Mwingine alituambia uchumi tunao lakini tumeukalia...ile dharau Hadi leo inanisumbua😂😂😂 mkuu wa nchi huyoo
Anarudi Dar mkuu na ni mgeni rasmi baraza la Idd. Sala asubuhi ndio ilifupishwa ili mama awahi Ars.BAKWATA 0 - WANDISHI WA HABARI 1
Mungu anawaona BAKWATA & CCM kwa kusogeza sikukuu ya eid mbele (kutoka jumatatu hadi jumanne) kisa ugeni rasmi wa Samia katika balaza la eid wakati Samia anaratiba nyingine na waandishi wa habari
Si mlidai JPM aliitenga kaskazini!!?Hivi hii nchi ni kaskazini tu sio??
Uislamu upi ambao wanawake hawahudhurii misikitini?Kwani wamesogeza mbele eid na wakati eid ni leo. Na unajua dini ya kiislam mwanamke ahudhurii msikitini wala kuongea mbele ya masheikh