Simon Adebisi
JF-Expert Member
- Aug 7, 2018
- 1,295
- 2,495
Inapokua mara yako ya kwanza kuendesha unachelewa kutoka Ofisini badala ya kutoka wakati wa Rush hour na unawahi kuingia unaingia wakati wa Rush hour.Ni simple TU.Kama unaogopa sana shuka chini ulale kwenye GariBora ingekuwa mkoani ila Dar ngumu sana na jioni nawaza itakuwaje kila mtu anataka kuwahi
Duh ongera nashukuru nimefika sinza nilikuwa na mtu ananiongoza pole poleWrite your reply...nilikunywa kidogo kutia ujasiri..aloo niligonga gia kwenye taa nyekundu nikapita nashukulu mungu kulikuwa hamna gar upande wapili ..ilikuwa hilux jk nyerere port
Ata wapige oni usiwaze mzeeNilikua naendeshea spidi 40 mwisho...Bagamoyo road yote hile mpaka posta n.k...watu walikuwa wanapiga honi mpaka basi..na hapo sijaweka hata learner...maana nilijifundisha tu youtube nakuuliza, halafu nikanunua gari, wiki nzima nipaki tu natumia usafiri wa umma...siku moja nikasema liwalo na liwe...huyoo...
Www kwan ulishindwa sema sijuiIlikua kupaki tu maskani mgeni kaja kaacha gari nje akanrushia fungua niingize gari ndani.. nikaona nisema sijui ntajishushia nyota af mgeni mwenyewe mmaza foani hivi daah ilibaki kidogo tu ning'oe geti lote na ukuta wake
Ongera bossKuendesha gari ni hobby mm Sina hobby ya kuendesha gari...napenda kuendeshwa Zaid....
Mm nime mrithi mamaangu Mimi sio mtu wa pilika pilika maana hata mzee wangu alinunuaga gari kali tukiwa primary school by then.....
Ex. Girlfriend wangu na ndinga yake ni Moja ya WANAWAKE majasiri sana UMENIKUMBUSHA ROUTE ZA SLEEPWAY.....
Anaweza Tukapiga nae MAGIC MOMENTS na tukamaliza na anani drive safely home....
Mm mara zote licha ya kujua kuendesha gari na pikipiki ila Huwa sinaga hobby navyo....mm hupenda kuendeshwa Zaid kuliko kuendesha....
Ina itaji UZOEFU kuendesha kariakoo na posta😊
Mkuu sio Siri bado sijui vizuri ila naendesha sio kama mwanzo ambapo nilikuwa siwezi kabisa kuondoka nayo.Katika kitu najua kuendesha ni pikipiki lakini kamwe nilijiapiza siendeshi pikipiki dar hata mara moja. Nikiwa mkoani huko naendesha ila kwa dar sijawahi. Yani vile wanavyokatiza katikati ya magari na kuchomekea mimi nahisi ntajikuta chini kwenye matairi.
Kuendeshwa pia, ila kuendesha no
Ahsante japo bado sijui gia ipi niitumie wapi hivyo kufanya pikipiki kuzima mara kwa mara.Ongera mkuu
Mdogo angu bwana mm naganga NJAA 😔😔Ongera boss
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Siku ya kwanza kuingia barabarani pekeyangu, niligonga mataa, baada ya kutoka hapo kwa hofu na kutetemeka mita kama 30 nikagonga bodaboda na abiria, na huyo bodaboda akampamia bodaboda mwingine, aiseee nilisikitika sana ila wote walinisamehe. Nikaizira gari kama siku nne. Baada ya hapo ikawa muda wa kutoka kazini naanza kua na mawazo na kukosa raha, siku nyingine nasahau badala ya kukanyaga break nakanyaga mafuta. Baada ya wiki tatu nikawa nimezoea [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
View attachment 2572097
[emoji23][emoji23]Duh nenda veta ase hili gari linanitoa jasho sana hapa nimetoka njee naliangalia mpaka nataman kutoroka hapa
Gari za kujifunzia ukubwani tena Dar es salaamSiku ya kwanza kuingia barabarani pekeyangu, niligonga mataa, baada ya kutoka hapo kwa hofu na kutetemeka mita kama 30 nikagonga bodaboda na abiria, na huyo bodaboda akampamia bodaboda mwingine, aiseee nilisikitika sana ila wote walinisamehe. Nikaizira gari kama siku nne. Baada ya hapo ikawa muda wa kutoka kazini naanza kua na mawazo na kukosa raha, siku nyingine nasahau badala ya kukanyaga break nakanyaga mafuta. Baada ya wiki tatu nikawa nimezoea 🤣 🤣 🤣
View attachment 2572097
Pole sana ilikuwa gari gani hiyo?Acha hiyo sasa wiki moja baada ya kutoka veta nikajidai teyari nimeshakuwa dereva kwani nilishapata leseni yangu ya mchongo, bwana nikaitwa kwenye interview moja kulikuwa na gari mpya tupu.
Na hata kwenye hiyo interview tulitestiwa na gari mpya... mimi nimeshazoea migari mibovu ile ya veta ukiendesha jinsi tairi linavyozunguka unalisikilizia kwenye stering mikono.... na clutch pia nimezoea zile ambazo nilazima uilazimishe kuikanyaga utumie kanguvu kidogo....kumbe bwana nilikuwa mshamba kuna clutch nyingine haziitaji nguvu kukanya...yani ukigusisha mguu tu imo...ni kama vile umekanyaga sponch la godoro...kwenye ile interview niliaibika sana...
Nimefika kwenye gari nimekutana na kiyoyozi kikali ambacho sikuwahi kuzania kuwa kwenye gari panaweza kuwa na kiyoyozi kama hicho, ile gari haikuwa na muungurumo hata kidogo, gari ilikuwa imewashwa ila kutokana na kuwa nilikuwa mshamba wa magari nilivyoingia nikafanya kitendo tena cha kuiwasha...doh nikaumbuka mbona tena gari haiwaki...hali ya kuwa gari ipo on...ila haina muungurumo hata kidogo....kijasho kikaanza kunitoka....nikaamua kukanyaga clutch kisha nikaweka gia na 1. baadae nikakanyaga na mafuta. clutch ilikuwa nyepesi kama sponchi kilicho tokea niliondoka kwa mwendo kama wanaoondokaga nao wanaoendesha magari ya mashinda....yule jamaa alie kuwa ananifanyia test akatingisha kichwa...nikajua hapa nimesha boronga....akaniambia simama...hata kwenye break napo hali ikawa ile ile....nilikanyaga break kwa nguvu gari ikaslip...hadi abiria wengine wakajibamiza na interview ikaishia hapo.
Mmmmh, sasa huu uongo ulitokaje home na gari kama haujui hata ku-pack gari?Sasa mimi kaniambia nimkute shekilango sijui kuludisha gari nyuma wala kulipaki