Siku yako ya kwanza kuendesha gari ilikuwaje?

Kuendesha gari nilijifunzia kwenye ma game ya simulator vile vile nilivyokua nacheza game nikahamishia ujuzi huo huo kwenye gari na nikaendesha kama dereva mzoefu sikuhitaji hata dakika ya kuelekezwa
Mi niliingia road bro hakuamini nilivyokuwa na balance, need for speed inasaidia sana
 
Saa kumi iyo ikaribia ase nawaza barara ya uhur na pale fire au nipite njia hii ya daraja la tanzanite?
Tanzanite! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si unakaa kimara ww pita hiyo hiyo ya fire to ubungo
 
pole homeboi(goba)
 
Udereva mwanzon ni mgumu kwanza barabara unaona nyembamba ukichek lory mbele unaona ii ngoma mbna inakuja uso kwa uso na mawaz ya kuwa malory yanasababisha ajar apo jasho na macho nimeyatoa yote.Mzee aliniambia tulia usimuangalie mpe nafas..ila ukiendesha mara kwa mara unazoea.
 
Hahahahah dah noma sana
 
[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Dah[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Nakumbuka nilinunua gari kipindi sijui kuendesha hata kidogo. Kulikuwa na Dereva ananifuata home ananiacha ofisini mimi na gari alafu baadae ananifuata ananiacha home.

Kuna siku hajaja, mwanaume nikajitosa barabarani. Bwana wee! Bonge la mvua likaanza kunyesha hata sijui liliopotokea. Ilikuwa balaa siku ile [emoji1787].
 
Niliwah kanyaga mafuta badala ya brek once nahaikuleta mazala
 
Mmh!?,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…