Siku yangu ya kwanza kuingia ofisi za kubeti kwa bahati mbaya

Nani azifute wakati wanakusanya kodi tena nyingi si kidogo.
Magu alifunga hadi bereau lakini si kampuni za kubet
Hapo alikosea Magu.

Atokee kiongozi azifute, maana mbali na Kodi kiduchu wanazopokea, pesa nyingi, JASHO la Watz linaenda ulaya.

Sisi vijana wanabaki katika lindi kubwa la Umaskini.
 
Samia akifuta hili,

Nitakuwa wa kwanza Kutoka kumpongeza.
 
1. Kodi
2. Kura

Kitu chochote kinachogusa mambo hayo mawili serikali hutokaa uione ikiingilia kati.
 
1. Kodi
2. Kura

Kitu chochote kinachogusa mambo hayo mawili serikali hutokaa uione ikiingilia kati.
Haipasi kuwa hivyo,

Bangi na drugs Zina pesa mingi sana, mbona hawapendi kuzihalalisha Ili wachukue Kodi?

Tunaua uzao wa vizazi vijavyo Kwa kuruhusu betting.
 
Haipasi kuwa hivyo,

Bangi na drugs Zina pesa mingi sana, mbona hawapendi kuzihalalisha Ili wamchukue Kodi?

Tunaua uzao wa vizazi vijavyo Kwa kuruhusu betting.
Ndio iko hivyo. Focus ni kupata kodi na kuendelea kubaki madarakani.
 
KAMARI KAMARI KAMARI
Nimekuita mara 3 KAMARI.

HUU NI ZAIDI YA USHETANI.
WAZUNGU WANAMIKATABA MIGUMU SANA NA SHETANI.
 
MANCHESTER UNITED vs LIVERPOOL - Gg,(Bothteamtoscore) odd 4 Weka lakimoja upate lakinne
Ndio tunavyoishi hvyo
 
Betting ni office kama office zingine tu ila inatakiwa kucheza kwa kiasi. Mwaka 2018 nilitengeneza mkeka nikatia 2000 nikaja kumla Mhindi 480,000. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huyo Magu mwenyewe aliombwa na Mashekhe fulani afute hizo mambo lakini hakuwasikiliza..

Serikali inapata billions of money hapo..
 
Huyo Magu mwenyewe aliombwa na Mashekhe fulani afute hizo mambo lakini hakuwasikiliza..

Serikali inapata billions of money hapo..
Serikali inapata pesa kidogo vat Kwa anayekula na kulipwa,

Lakini pesa inayopelekwa nje kama faida 82% Serikali wawaichungulii.

Pesa hiyo ingebaki nchini ndani katika mizunguko wa ndani,

Uchumi usingedoda!!
 
Mtu kama wewe, wa kukutoa kwenye betting sijui atumie ushasishi Gani uelewe!!
Ofisi ile Mkuu iheshimike na inatambulika na Wizara ya Fedha na Serikali inachukua Kodi. Tatizo liko wapi? Mimi huwa sipendi unafiki nasema kweli
 
"Nikawaza hiki ni nini watu Hawa wanafanya, niliwaza, yaezakuwa wanafanya labda mtihani hivi, niliwaheshimu sana, nilipoona hali Ile"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Yaani betting imewafanya wale vilaza waliokuwa wanatokea madirishani kumkimbia mwalimu wa math,

Imewarudisha darasani, Wana concentrate kabisa,

Uchawi wa mzungu utalifilisi Taifa.
 
Serikali inapata pesa kidogo vat Kwa anayekula na kulipwa,

Lakini pesa inayopelekwa nje kama faida 82% Serikali wawaichungulii.

Pesa hiyo ingebaki nchini ndani katika mizunguko wa ndani,

Uchumi usingedoda!!
Bilioni 140 kwa mwaka kutoka sekta fulani sio hela ndogo kwenye mapato ya nchi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…