Siku yangu ya kwanza kuingia ofisi za kubeti kwa bahati mbaya

Ni sawa tu kusema,

Biashara ya madawa ya KULEVYA Ina pesa mingi,

Kwamba ikihalalushwa, tutapata pesa Mingi,

Huko Nako ni kujilisha upepo na udhalimu mkuu.
Kuna nchi zimehalalisha uzalishaji wa bangi na zipo mbele kimaendeleo zaidi yetu sisi, ili mradi iwekwe clear lengo lake. Kwa hiyo kama ww haubeti sawa waachie wanaobeti wajaribu bahati zao maana kuna ambao hawabeti na wapo ovyo sana kiuchumi kuliko wanaobeti
 
😀😀😀😀

Yaani betting imewafanya wale vilaza waliokuwa wanatokea madirishani kumkimbia mwalimu wa math,

Imewarudisha darasani, Wana concentrate kabisa,

Uchawi wa mzungu utalifilisi Taifa.
Na kingereza wanajua, utasikia double chance, both team to score, away team goal, first half win , three point five over kuna siku nikakamata dogo janja moja la kubeti nkaliambia 1.5*1.5 na 1.5+1.5 ipi kubwa akajibu 1.5*1.5 ndio kubwa nikacheka nikatembea zangu ila odds za kwenye mkeka anazizidisha vizuri tu
 
Bilioni 140 kwa mwaka kutoka sekta fulani sio hela ndogo kwenye mapato ya nchi..
Kwani umewahi jiuliza ikiwa uharamu wa kuchuna ngozi ya binadamu,drugs au bangi vingehalalishwa na wakawezeshwa kulipa Kodi,

Nchi ingepata mapato kiasi Gani?

Jambo muhimu ni USALAMA wa wananchi na vizazi vyao, tusiendekeze pesa.
 
Kamari ni ya kufuta kabisa ,kama hawa wachina na madude yao ya kamari nao ni wawekezaji ?,, najisikia vibaya mno mimi ,roho yangu inaniuma sana basi tu,,
Navo vituo vya habari vinatangaza kamari usiku na mchana ,, CCM angalieni hili.
 
Kuna nchi zimehalalisha uzalishaji wa bangi na zipo mbele kimaendeleo zaidi yetu sisi, ili mradi iwekwe clear lengo lake. Kwa hiyo kama ww haubeti sawa waachie wanaobeti wajaribu bahati zao maana kuna ambao hawabeti na wapo ovyo sana kiuchumi kuliko wanaobeti
Kufanikiwa katika njia ya betting ni jambo Moja,

Na kuamini kuwa kijana anaweza kufanikiwa Kwa kubeti, au kuifanya betting kuwa chanzo Cha ajira ni jambo lingine.

Hapo umeelewa?

Yaani tatizo ni mume, kumuaminisha mke kuwa wanaweza kuishi Kwa kubeti na maisha yakasonga,

Ndipo palipo na chanzo Cha tatizo.
 
Kamari ni ya kufuta kabisa ,kama hawa wachina na madude yao ya kamari nao ni wawekezaji ?,, najisikia vibaya mno mimi ,roho yangu inaniuma sana basi tu,,
Navo vituo vya habari vinatangaza kamari usiku na mchana ,, CCM angalieni hili.
Zamani, betting iliruhusiwa miezi ya sikukuu pekee, saizi mwaka mzima Nchi unabet,

Sio CCM pekee hata viongozi wa upinzani wanabet.

Kama Nchi tunatakiwa tukae Kwa pamoja tujitafakari.

Tutakwama.
 
Wachina na madudue yao yale nafikiri wanayaitaga maguruguru huku Iringa. Yapo hadi Vijijii wakati kwao yanawekwa kwenye might club's tu.
 
Saizi Hadi watoto wa shule za msingi wanabet mitaani Kwa coin!!

Sijui viongozi wenye maono waneisha Nchi hii?

Unashangaa kusikia waziri Mwigu naye anamiliki kampuni za betting!!
 
Kufanikiwa katika njia ya betting ni jambo Moja,

Na kuamini kuwa kijana anaweza kufanikiwa Kwa kubeti, au kuifanya betting kuwa chanzo Cha ajira ni jambo lingine.

Hapo umeelewa?

Yaani tatizo ni mume, kumuaminisha mke kuwa wanaweza kuishi Kwa kubeti na maisha yakasonga,

Ndipo palipo na chanzo Cha tatizo.
Kama wanafanya ndio ajira sio sawa ni tatizo maana hata wao wenyewe betting wanasema beting isiwe kama ndio chanzo cha kipato, ila shida wabongo hatujali tahadhari kama matangazo ya pombe yanavyosema unywaji pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya yako.....
 
Mimi niliingia mara moja ila sikuwmwoga kama wewe, nisingeweza kucheza hata kidogo ila nilitaka kujifunza, niliishia tu kuwaonea huruma wale vijana
 
Wachina na madudue yao yale nafikiri wanayaitaga maguruguru huku Iringa. Yapo hadi Vijijii wakati kwao yanawekwa kwenye might club's tu.
Mfano wilaya ya Kilolo nimetembea Idete lipo ,bomang'ombe yapo,, ,lulanzi ,kisinga yapo mengi,, inaumiza sana hadi wabibi na wababu wanacheza
 
Zamani, betting iliruhusiwa miezi ya sikukuu pekee, saizi mwaka mzima Nchi unabet,

Sio CCM pekee hata viongozi wa upinzani wanabet.

Kama Nchi tunatakiwa tukae Kwa pamoja tujitafakari.

Tutakwama.
Mimi naona ifutwe kabisa ,tusiangalie kodi ,ustawi wa jamii ya sasa na baadae uangaliwe zaidi
 
Kama wanafanya ndio ajira sio sawa ni tatizo maana hata wao wenyewe betting wanasema beting isiwe kama ndio chanzo cha kipato, ila shida wabongo hatujali tahadhari kama matangazo ya pombe yanavyosema unywaji pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya yako.....
Bangi, sigara, drugs, umalaya ni sawa tu na betting,

Ukianza kufanya vitu hivi, ngumu kujicontrol sababu ndani yake Pana ADDICTION.

Mungu atusaidie, turudi kuliponya Taifa letu.
 
Betting ni office kama office zingine tu ila inatakiwa kucheza kwa kiasi. Mwaka 2018 nilitengeneza mkeka nikatia 2000 nikaja kumla Mhindi 480,000. 😂😂😂
Wewe hapo hupaswi kunena.
2019 nilitengeneza mikeka yangu mi3,mia 5 kila mmoja.
Ilikuwa siku ya ijumaa nikiwa ninatoka kazini na mshahara kibindoni.
Mingine miwili sina kumbukumbu nayo na siku iliyofuata ilichanika,ukabaki m1 wenye match 24 sawa na teams 48.

Jumapili saa 2 usiku nikaona unaendelea vizuri,zimebaki match 6.
Jumatatu yake ilikuwa nikakate ticket nielekee mkoani Tanga.

Sasa nikiwa njiani hiyo Juma 3,nikaona ngoja niangalie mkeka kwanza,kwa haraka nikaona zimeenda vyema games 23,moja sijaiona.

Nikaona isiwe tabu,ngoja nikae chini nijiridhishe.
Ebuana eee,6,464,276/- hii hapa kwa 500.
Hapo kodi ilishakatwa.
Sema mimi nilikuwaga sikai betting station.

Nilikuwa ninatenga km ni 5000/- kwa mwezi basi.
Ikiisha siongezi,sikuwa nikiitegemea kazi ya betting.
Nilinunua viwanja viwili vya kujenga ndani ya manspaa flani,vipo kimoja nilishaanza ujenzi.
 
Pesa ya betting Ili vyo na LAANA,

Ukitetereka kidogo, utavuuza vyote Ili urudi kubeti.

Niliona Kwa macho yangu, mtu aliyejenga nyumba kutokana na pesa ya betting akiiuza Kisha kumaliza pesa zote kwenye kubeti.

Mungu atusaidie.
 
Wewe hapo hupaswi kunena.
2019 nilitengeneza mikeka yangu mi3,mia 5 kila mmoja.
Ilikuwa siku ya ijumaa nikiwa ninatoka kazini na mshahara kibindoni.
Mingine miwili sina kumbukumbu nayo na siku iliyofuata ilichanika,ukabaki m1 wenye match 24 sawa na teams 48.

Jumapili saa 2 usiku nikaona unaendelea vizuri,zimebaki match 6.
Jumatatu yake ilikuwa nikakate ticket nielekee mkoani Tanga.

Sasa nikiwa njiani hiyo Juma 3,nikaona ngoja niangalie mkeka kwanza,kwa haraka nikaona zimeenda vyema games 23,moja sijaiona.

Nikaona isiwe tabu,ngoja nikae chini nijiridhishe.
Ebuana eee,6,464,276/- hii hapa kwa 500.
Hapo kodi ilishakatwa.
Sema mimi nilikuwaga sikai betting station.

Nilikuwa ninatenga km ni 5000/- kwa mwezi basi.
Ikiisha siongezi,sikuwa nikiitegemea kazi ya betting.
Nilinunua viwanja viwili vya kujenga ndani ya manspaa flani,vipo kimoja nilishaanza ujenzi.
Betting ni office sema unaitumiaje tu. Mwezi wa kwanza huu nilikuwa na 10,000 tu nikanunua mazaga ikabaki kama 1,500 nikaingia office (Betting) nikachagua timu 13 kwa jero mkeka wa siku mbili nikausikilizia Jumatatu Sina hata mia halafu Kuna Mjinga alikuwa ananidai kama 35,000 hataki hata kuongea na Mimi. Kwenda kuumlulika zote Kijani 277,000 hii hapa. 😂😂😂
Alafu Leo hii Mtu frm no where anakuja anakataza aisee Mimi hata simuelewi
 
Tukiangalia issue hiyo Kwa jicho la kiserikali,

Kila siku Kila kijana anabet wastani wa 1000 Kwa siku na inaliwa.

Tufanye assumption,

Vijana milioni 20 wanabet Kila siku,

20,000,0000*1000= Trillion 2. Per day., Kwa mwaka ni pesa ngapi?

Hiyo pesa inaenda nje ya Nchi Kutoka JASHO la Watanzania.

Pesa hiyo ingeingia katika banks zetu na vijana wakakopeshwa bila riba kufanya miradi Yao, Nchi ingekuwa wapi?
 
Back
Top Bottom