peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Nimefuatilia hotuba ya Bajeti ya mwaka 2022/2023 na kwenye kipengele kinachosema kuwa kama mtumishi wadhifa wake umetenguliwa basi arudi kupokea ule mshahara aliokuwa anapokea kabla ya uteuzi. Hili ni pendekezo.
Binafsi sikubaliani kabisa na pendekezo hili. Mhe. Waziri usije ukaleta vurugu hapa nchini. Nchi hii tunapendana. Utakuta wengi wanaotumbuliwa ni uonevu.
Wabunge hili ni pendekezo mkatae kwa asilimia mia moja.
Kuna wakati una hoja nzuri sana, tatizo ukada unakuharibiaMkuu Koryo2, kwanza msome huyu
Mkuu Johnny Sack , kumbe hili wewe ndio umelijua jana!, karibu angalia tarehe ya bandiko hili uone watu tulisema nini na lini
NilisemaMnatambua kuwa baadhi ya Maamuzi ya Magufuli yanaligharimu Taifa kiuchumi?
Wanabodi, Hii ni mada kuhusu baadhi ya maamuzi ya rais wetu, Mhe. Dr. John Pombe Joseph Mugufuli anayoyafanya sasa huku watu wanashangilia sana kila kinachofanywa na Rais wetu, wakiamini na wakidhani kila anachokifanya rais ndio the right thing to do kwa taifa letu and done at the right time and...www.jamiiforums.com
P.
Ukisikia mtu kafa kwa msongo wa mawazo ndio hapa sasa,mtoto yupo Feza form two Mara paaap umetenguliwa unarudi kwenye mshahara wa TGS D[emoji3]Yani mfano kama mtu alikuwa mwalimu akateuliwa kuwa DED anakuwa anakula M 3 na malupulupu kibaoooo.Sasa ikatokea paaap akatenguliwa basi anarudi kwenye laki 7 badala ya M 3
Mkuu hakika sijaona ubaya wowote wa pendekezo hilo, tena limelenga kuhakikisha kila mmoja analipwa mshahara kulingana na jasho lake, Mpaka sasa kuna watu wengi wanalipwa mshahara wa kazi wasiypifanya, Mfano wakurugenzi wote waliotumbuliwa hata kama awali walikuwa walimu eti waendelee kulipwa mshahara wa mkurugenzi ilihali hawafanyi kazi za wakurugenzi!Nimefuatilia hotuba ya Bajeti ya mwaka 2022/2023 na kwenye kipengele kinachosema kuwa kama mtumishi wadhifa wake umetenguliwa basi arudi kupokea ule mshahara aliokuwa anapokea kabla ya uteuzi. Hili ni pendekezo.
Binafsi sikubaliani kabisa na pendekezo hili. Mhe. Waziri usije ukaleta vurugu hapa nchini. Nchi hii tunapendana. Utakuta wengi wanaotumbuliwa ni uonevu.
Wabunge hili ni pendekezo mkatae kwa asilimia mia moja.
Kipimo cha kiwango cha mshahara ama ujira wa mfanyakazi hitegemea aina majukumu ambayo mtu hukasimiwa katika nafasi ya ajira aliyopewa katika muda husika. Ni sahihi mtu akalipwa kutokana na kile alichopangiwa kukifanya katika nafasi na muda husika.Nimefuatilia hotuba ya Bajeti ya mwaka 2022/2023 na kwenye kipengele kinachosema kuwa kama mtumishi wadhifa wake umetenguliwa basi arudi kupokea ule mshahara aliokuwa anapokea kabla ya uteuzi. Hili ni pendekezo.
Binafsi sikubaliani kabisa na pendekezo hili. Mhe. Waziri usije ukaleta vurugu hapa nchini. Nchi hii tunapendana. Utakuta wengi wanaotumbuliwa ni uonevu.
Wabunge hili ni pendekezo mkatae kwa asilimia mia moja.
Issue sio heshima,issue ni Tax Payer money ambayo watu wanahaha kuilipa,lakini haitengenezi tija yeyote ileNi sahihi kabisaaa
Tena kipindi cha JPM, unachagua kijana miaka 40, unampa mshahara mkubwa, unamtengua, anarudi ofisi yake ya zamani anamzidi boss wake mshahara
Heshima itatoka wapi?
Mi naungana na wewe.Nimefuatilia hotuba ya Bajeti ya mwaka 2022/2023 na kwenye kipengele kinachosema kuwa kama mtumishi wadhifa wake umetenguliwa basi arudi kupokea ule mshahara aliokuwa anapokea kabla ya uteuzi. Hili ni pendekezo.
Binafsi sikubaliani kabisa na pendekezo hili. Mhe. Waziri usije ukaleta vurugu hapa nchini. Nchi hii tunapendana. Utakuta wengi wanaotumbuliwa ni uonevu.
Wabunge hili ni pendekezo mkatae kwa asilimia mia moja.
Issue sio heshima,issue ni Tax Payer money ambayo watu wanahaha kuilipa,lakini haitengenezi tija yeyote ile
Kwanza tuulizane kwa nini iliwekwa hivyo?Kwa hiyo kama Katibu mkuu ameondolewa kwenye nafasi yake aendelee kulipwa mshahara wa ukatibu mkuu??
Yani mfano kama mtu alikuwa mwalimu akateuliwa kuwa DED anakuwa anakula M 3 na malupulupu kibaoooo.Sasa ikatokea paaap akatenguliwa basi anarudi kwenye laki 7 badala ya M 3
Level ya principal officer
YesKitila Mkumbo alipoteuliwa katibu mkuu wizara ya maji alikuwa amefikia level ya principal officer?
Kitila Mkumbo alikuwa Professor na Mshaharabwa Professor ni kuanzia 4M,na huku ule wa Katibu Mkuu nao unacheza kwenye 5M so ongezeko linakuwa sio kubwa.Kitila Mkumbo alipoteuliwa katibu mkuu wizara ya maji alikuwa amefikia level ya principal officer?
Layman speaking sheria inasema atabaki na mshahara wakeMamlaka ya uteuzi iliyokuteua ikishasema hufai basi inatosha we pisha kiti.
Ulipoteuliwa ukapata salary mpya kwa sababu ya cheo kipya, unapotenguliwa ni sahihi urudi salary yako hakuna cha kuonewa mara kusingiziwa mbona kuteuliwa kwa upendeleo na mishemishe huzungumzii?