Sikubaliani na pendekezo la Waziri wa Fedha kuwa kama mtumishi wadhifa wake umetenguliwa arudishwe kwenye mshahara wake wa awali

Sikubaliani na pendekezo la Waziri wa Fedha kuwa kama mtumishi wadhifa wake umetenguliwa arudishwe kwenye mshahara wake wa awali

Nimefuatilia hotuba ya Bajeti ya mwaka 2022/2023 na kwenye kipengele kinachosema kuwa kama mtumishi wadhifa wake umetenguliwa basi arudi kupokea ule mshahara aliokuwa anapokea kabla ya uteuzi. Hili ni pendekezo.

Binafsi sikubaliani kabisa na pendekezo hili. Mhe. Waziri usije ukaleta vurugu hapa nchini. Nchi hii tunapendana. Utakuta wengi wanaotumbuliwa ni uonevu.

Wabunge hili ni pendekezo mkatae kwa asilimia mia moja.
Hapa naunga mkono sababu watu hawawajibiki wanajua tayari nina mshahara mkutwa hata wakinitoa sawa
 
Kwa nafasi za uteuzi sawa. Ile zile watu wanazotolea jacho ktk usaili hapana.
Wewe kaibe tuu utajua hujui..Niliwahi andika uzi humu kwamba kiama kwa watumishi majizi kimekuja..

Nyie mafala mlikuwa mnatumia nafsi zenu za ukuuj wa Idara kuwa miungunwatu,kuweni na saizi
 
Nimefuatilia hotuba ya Bajeti ya mwaka 2022/2023 na kwenye kipengele kinachosema kuwa kama mtumishi wadhifa wake umetenguliwa basi arudi kupokea ule mshahara aliokuwa anapokea kabla ya uteuzi. Hili ni pendekezo.

Binafsi sikubaliani kabisa na pendekezo hili. Mhe. Waziri usije ukaleta vurugu hapa nchini. Nchi hii tunapendana. Utakuta wengi wanaotumbuliwa ni uonevu.

Wabunge hili ni pendekezo mkatae kwa asilimia mia moja.
Fanya kazi kwa bidii acha uzembe wewe fara
 
Unakuta kwa mfano mtumishi ni Principal Officer anayepata mshahara wa TGS H6 then anateuliwa kuwa Mkurugenzi ambaye mshahara wake say ni LSS 3. Ina maana huyu Mkurugenzi siku ukurugenzi wake ukitenguliwa Mwigulu anapendekeza arudi kupokea TGS H6 yake, asiendelee na huo wa ukurugenzi.
ni sawa kabisa maana yeye siyo mkurugenzi tena
 
Yani mfano kama mtu alikuwa mwalimu akateuliwa kuwa DED anakuwa anakula M 3 na malupulupu kibaoooo.Sasa ikatokea paaap akatenguliwa basi anarudi kwenye laki 7 badala ya M 3
Wafanyakazi wa serikali kiukweli hamna akili kabisa ya kufikiri , wengi mnazani fedha za kodi za wananchi ni kwa ajili ja kulipia mishahara [emoji849][emoji849]....Kosa kubwa kwa nchi yetu kwenye wafanyakazi wa serikali ni kutokuwa na IN VIEW BALI TUNATUMIA INTER VIEW TU ..IN VIEW ingetumika kufuta kazi wafanyakazi wa hovyo serikalini
 
Yani mfano kama mtu alikuwa mwalimu akateuliwa kuwa DED anakuwa anakula M 3 na malupulupu kibaoooo.Sasa ikatokea paaap akatenguliwa basi anarudi kwenye laki 7 badala ya M 3
Sasa kama ameondolewa kwenye hiyo nafasi why aendelee kulipwa mshahara wa nafasi husika wakati hatumikii tena? Its a simple logic
 
Je. Hii ni sawa na kwa wale wanaoondolewa na wananchi ama sheria? Mfano wale, waziri Mkuu, Speaker, au hata Rais wakati wa uchaguzi?
Kwa kifupi wewe akili yako ni yakipumbavu
 
Hiyo imekaa vema. Unalipwaje pesa ya wadhifa ambao huufanyii kazi? Kwani mshahara ni ufadhili?

YESU KRISTO ni BWANA na MWOKOZI
Mleta uzi hana akili kabisa ..kwanza mm nashangaa huo utaratibu wa kulipanya mishahara bila ya kuwa na kazi
 
Ndio imepita hiyo hatutaki gharama zisizo za msingi na sheria inaenda badilishwa mwezi wa 9
MIMI NASHANGAA JPM ALIACHAJE SHERIA YA KISENGEEE KAMA HIYO WAKATI ALIKUWA MAKINI SANA HUO NI UPUMBAVU MKUBWA KUMLIPA MSHAHARA PASIPO KAZI HUSIKA YA MSHAHARA ...kanuni ya mshahara inasemaje mshahara ni nini ?
 
Waziri yupo Sahihi haiwezekani Mtu alikuwa
ana Cheo cha Chini akateuliwa kuwa DC na akawa anapata Mshahara ws DC baadae akatenguliwa na kurudi kwenye kazi yake ya Awali Aendelee na Mshahara wa DC huo ni UHUJUMU UCHUMI

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Ni kweli ila najiuliza kwa wale wanaokuwa wamepata uteuzi toka kwenye sekta binafsi, au walikuwa wanafanya shughuli zao Kama Msendo, hao watalipwa mshahara upi?
 
Uamuzi wa serikali ya awamu ya sita ya kufuta utaratibu wa kuendelea kupata mshahara wa cheo cha uteuzi hata baada ya kutumbuliwa haufai kabisa kwani yalikuwa ni matumizi mabaya ya kodi za wananchi kwa kuwa hilo suala lipo kisheria serikali ianze utaratibu wa kuifanyia hiyo sheria marekebisho mara moja ili kuokoa kodi zetu .Sheria ikifanyiw marekebisho itachochea uwajibikaji wa hao wateule kwani wataogopa kupoteza vyeo na vipato tofauti na sasa mtu anapoteza cheo tu ila mkwanja uko pale pale

Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
Mapendekezo yote yatarekebishiwa sheria
 
Back
Top Bottom