Sikuchagua Mkoa wa Kagera lakini wamenichagua Kagera ndiko nitafanya Oral interview Nauli 100,000

Da Daktari yapo mengi ya kuzungumza na wewe hasa rwamishenye ,kwa akina sued kagasheki .

Vipi habari ya uswahilini na hamgembe kwa akina hashimu yahya
 

Dr utakuwa umesoma science pale aliposoma Mbowe IYUNGO
 
Mkuu ahaaa umenikumbusha Sued kagasheki huyu ni ndugu na Balozi kagasheki nilimuacha akiwa diwani

Ile familia yao Ina pesa Sana na kismati.
Ni kweli Wana hela wale jamaa ,bado ni diwani na pia mwenyekiti wa mtaa wa rwamishenye ijapokuwa wananifurahisha Sana khamisi akiwa Kagera eti sued ndiye dereva wake na bodyguard wake .

But wale ni watu Sana bro ,ninayo mengi kuhusu ile familia Kaka

May God keep blessing them .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…