Sikuchagua Mkoa wa Kagera lakini wamenichagua Kagera ndiko nitafanya Oral interview Nauli 100,000


Familia ya kizungu Sana ile.

Sitaki kuongea mengi Ila watu waliokuwa karibu na huyo mzee kawavusha Sana .

Mara ya mwisho nilienda kumsalimia kwake 2019 kule kwake Busimbe. Very humble .
 
Ni k
 
Nenda kakate rufaa, usikubali kuporwa haki yako kienyeji.
 
Hela ndogo hivyo inakutoa jasho, kazi ya kuwaondoa watz ujinga utaiweza kweli ?
Ndogo kwako mzee, maisha tumetofautiana, we buku sio hela, kuna mtu ndio maisha yake siku nzima.
Kuna mtu elfu 10 ni dhahabu kwake mwingine sio kesi,
Kuna mtu lakini ni kipengele kikubwa mnoo, mtoto anaenda shule na masempele na manyampu nyampu, kuna mwingine hiyo laki analala hotel usingizi wa siku moja na haiwazii wala nini..

Kama ni ndogo kwako si kwa wote, unaweza msaidie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…