Ndo kitu nilichoshauri jana kwenye haya haya magroup. Imeshatokea wapo wawili. Kwa namna moja au nyingine hawana budi kusameheana. Mke mdogo angemtafuta mkubwa wakae sasa Mzee ameshakwenda, tunamhifadhi wapi? Na tunafanyeje kuhusu shughuli yote hii? Ni yetu sote. Kama Mke mkubwa ana hekima angekaa na kuongea na wangetoka nje wakiwa wamoja. Ukaaji, uvaaji ulionesha hakuna huo utengamano. Tuombe tusiyaone ya mahakama maana mule aibu zote huwa zinaibuliwa. Unaachwa uchi wa mnyama kabisa.Mke Mdogo wa Ndugai , ndo anayetambulika na Serikali Ila kihualisia na mke mkubwa anafahamika na Serikali nikimaanisha wanamjua na anajulikana na viongozi wa Serikali.
Ilibidi wakae nae , waomboleze nae msiba na sio kumtenga.
Ubinadamu ,utu ni muhimu kuzidi Mali , pesa na umaarufu.
Ikiwa huyu mke mkubwa ametengwa katika Msiba je katika Mali itakuaje ?.
Hayo mafao na benefits nyingine anabidi na Huyo mke mkubwa kupata.
Hizi sheria lazima zizingatie utu na ubidamu .
anatufokeaSasa kwa nini umebold maandishi?
Mambo ya familia za watu tuwaachie wao wayamalize sio kila sehemu kunahitaji busara za sisi wanajamii.Mke Mdogo wa Ndugai , ndo anayetambulika na Serikali Ila kihualisia na mke mkubwa anafahamika na Serikali nikimaanisha wanamjua na anajulikana na viongozi wa Serikali.
Ilibidi wakae nae , waomboleze nae msiba na sio kumtenga.
Ubinadamu ,utu ni muhimu kuzidi Mali , pesa na umaarufu.
Ikiwa huyu mke mkubwa ametengwa katika Msiba je katika Mali itakuaje ?.
Hayo mafao na benefits nyingine anabidi na Huyo mke mkubwa kupata.
Hizi sheria lazima zizingatie utu na ubidamu .
uAnayeungwa ni mke ambaye ana shule kichwani hata Jomo Kenyata alikuwa na mke wa mkubwa lakini mke mdogo Mama Ng'ina ndio anayetambulika.
Okay.Mambo ya familia za watu tuwaachie wao wayamalize sio kila sehemu kunahitaji busara za sisi wanajamii.
Una uhakika gani mke wa kwanza aliendelea kuwa mke wa Job? Kwa jinsi maisha yalivyo na kwa namna job alivyomtambulisha bungeni mke mdogo huenda mahusiano na mke mkubwa ya kimapenzi yalishakufa walibaki kulea watoto.
Good feedback.Ndo kitu nilichoshauri jana kwenye haya haya magroup. Imeshatokea wapo wawili. Kwa namna moja au nyingine hawana budi kusameheana. Mke mdogo angemtafuta mkubwa wakae sasa Mzee ameshakwenda, tunamhifadhi wapi? Na tunafanyeje kuhusu shughuli yote hii? Ni yetu sote. Kama Mke mkubwa ana hekima angekaa na kuongea na wangetoka nje wakiwa wamoja. Ukaaji, uvaaji ulionesha hakuna huo utengamano. Tuombe tusiyaone ya mahakama maana mule aibu zote huwa zinaibuliwa. Unaachwa uchi wa mnyama kabisa.
Hao wanalipwa kupitia kodi zetu so lazima tuwafatilie .Mambo yao waachie wenyewe.
Je sheria zinasemaje kuhusu binadamu walio patikana nje ya mahitaji ya kimwili wakati ule wa mtoto bembeaMke Mdogo wa Ndugai, ndio anayetambulika na Serikali Ila kihualisia na mke mkubwa anafahamika na Serikali nikimaanisha wanamjua na anajulikana na viongozi wa Serikali.
Ilibidi wakae nae, waomboleze nae msiba na sio kumtenga.
Ubinadamu, utu ni muhimu kuzidi Mali, pesa na umaarufu.
Ikiwa huyu mke mkubwa ametengwa katika Msiba je katika Mali itakuaje?.
Hayo mafao na benefits nyingine anabidi na Huyo mke mkubwa kupata.
Hizi sheria lazima zizingatie utu na ubidamu.
Endelea kuwafuatilia sio mshauri wa maamuzi yao. Mambo ya familia ni private.Hao wanalipwa kupitia kodi zetu so lazima tuwafatilie .
Una n matatizo si bure!Mke Mdogo wa Ndugai, ndio anayetambulika na Serikali Ila kihualisia na mke mkubwa anafahamika na Serikali nikimaanisha wanamjua na anajulikana na viongozi wa Serikali.
Ilibidi wakae nae, waomboleze nae msiba na sio kumtenga.
Ubinadamu, utu ni muhimu kuzidi Mali, pesa na umaarufu.
Ikiwa huyu mke mkubwa ametengwa katika Msiba je katika Mali itakuaje?.
Hayo mafao na benefits nyingine anabidi na Huyo mke mkubwa kupata.
Hizi sheria lazima zizingatie utu na ubidamu.
Upo sahihi! Ukiona Mwanaume anatoka na msuli chumbani kwa mama yako, ndiye baba yako. Full stopEndelea kuwafuatilia sio mshauri wa maamuzi yao. Mambo ya familia ni private.
Hakika.Upo sahihi! Ukiona Mwanaume anatoka na msuli chumbani kwa mama yako, ndiye baba yako. Full stop
Serikali haifanyika hivyo,hufanya kazi kwa taarifa rasmiMke Mdogo wa Ndugai, ndio anayetambulika na Serikali Ila kihualisia na mke mkubwa anafahamika na Serikali nikimaanisha wanamjua na anajulikana na viongozi wa Serikali.
Ilibidi wakae nae, waomboleze nae msiba na sio kumtenga.
Ubinadamu, utu ni muhimu kuzidi Mali, pesa na umaarufu.
Ikiwa huyu mke mkubwa ametengwa katika Msiba je katika Mali itakuaje?.
Hayo mafao na benefits nyingine anabidi na Huyo mke mkubwa kupata.
Hizi sheria lazima zizingatie utu na ubidamu.
Kuna kama evangelical na huyu jamaa yako, wanakaza fuvu ati mke mkubwa! Unajua kwanini waliachana? Mtu nipo mzima hatupo wote, nikishakufa ndipo unajisogeza. Ujombani unaoneshwa na mama yako.Hakika.
Umeongea vyema mkuu.Kuna kama evangelical na huyu jamaa yako, wanakaza fuvu ati mke mkubwa! Unajua kwanini waliachana? Mtu nipo mzima hatupo wote, nikishakufa ndipo unajisogeza. Ujombani unaoneshwa na mama yako.
Marehemu kabla hajafa kasema huyu ndiye mke wake kipenzi! Wewe ni nani kumchagulia leo hii mke. Cheti cha ndoa ni karatasi ile! Tuache ushabiki wa kijinga. Mke ni yule anayekuhudumia kike
Upo sahihiUna n matatizo si bure!