Sikuona sababu ya kumtenga mke mkubwa wa Ndugai msibani

Wakati alipokuwa hai, aliwahi kutambulishwa Bungeni au kwenye hafla ya chama au Serikali kama Mke wa Spika Ndugai?

Kama HAPANA, alikwina?
 
Ametengwa kivipi mkuu?kwamba alikuja msibani halafu wakamfukuza au imekuwaje?
Mimi naona mtu akishakufa mambo ya kugombania msiba ni ujuha haitabadilisha chochote.
Hii ni tabia iko Tanzania au Africa tu wakati mtu akiwa anaugua hakuna anayekuja kifua mbele kudai kwamba yeye ni mtu wa karibu sana na mgonjwa ila akishakufa kila mtu anataka kujionyesha kwamba yeye ndio mtu wake wa karibu sana.
 
Huyo mke mkubwa ndio alikua wa kwanza kumkana mwenzie hamjui,alishaleta tamaa zake za kichaga ikiwa zaidi ya miaka 30 wametengana na ndugai
 
Job alishatengana nae kitambo,mama anataka kuleta ukauzu tu wa kikaskazini 😂,halafu yy ndio alikua wa kwanza kudai hamtambui mke mdogo 😂
 
Job alishatengana nae kitambo,mama anataka kuleta ukauzu tu wa kikaskazini 😂,halafu yy ndio alikua wa kwanza kudai hamtambui mke mdogo 😂
Ona sasa.

Kuna mazingira hata hizo busara hazihitajiki. Wanaume tunapitia mengi
 
Sentensi nzuri ni hiyo "kuna mambo mengi hatuyajui tusishauri sana."
 
Maisha ya watu hayo! Unajua kisa chakutengwa? Na kama alitengwa mmewe akiwa hai iweje sahizi?

Kabisa , kama mke wa Buhari ex president wa Nigeria ambae walishaachana na Buhari, Eti baada ya mwenzie kufa akaanza kujitokeza kutoa taarifa kadhaa wakati hajawahi kwenda kumuona wakati alipolazwa hospital,
Ndio familia ikaweza wazi kuwa sio mke wa alihemu na Kwamba walishaachana kitambo tu na Kwamba wampuuze na taarifa zake.
 
MKe wa spika anatakiwa kuendelea kulipwa posho mpaka mwiho wa maisha yake.

Je wote wawili watakuwa wanalipwa?
kama ni sheria inabidi ipitiwe upya haifai. Kwa hiyo na wake za Rais au ??
 
Faru Job alikuwa na mihasira ya kifalafala sana kumbe stress za mambo ya kifamilia kutokukaa sawa; but vyombo sijui vinafanyaje kazi siku hizi, mtu familia imemshinda anapewa mhimili muhimu kama Bunge aongoze kweli???

Bi.Chura naye pamoja na kudanga na vijana wadogo naye anapewa serikali, seriously?? Mwanae wa kike juzi tumesikia ana waume wawili, na mme mmoja ni Waziri nalo kama boya tu limekubali huo ujinga pumbavu🚮🚮🚮🚮
 
Mi mbona pangechimbika
Na watt wa bi mkubwa wajinga ,yaani ningesimama na mama angu angethubutu kumgusa mtu
 

Wewe mjinga na mpumbavu cheti cha ndoa sio karatasi ya kawaida .
Wewe mpumbavu ukimuona mwanamke hutakiwi kumuacha bila kufata taratibu za kupatiwa hati ya talaka.
Wewe ni mmoja wapo wa wajingawajinga ambao hamuelewi hata misingi ya ndoa halafu unaweza kukuta eti lina mke kabisa pumbavu zako
 
Wabongo tupunguze unafki,nimemkataa/kanikataa tukiwa hai nimekufa mnamleta eti mke.ntaamka niwatembezee stick.
 
Hasira za nini? Mchezo huu hautaki hasira. Consummation of the marriage unaifahamu. Utathibitishaje kuwa mtu ni mke wake bila hiyo kitu. Natamani kujua kama wewe ni Me au Ke maana kama ni Ke, nakusamehe ila kama ni Me, big no
 
Kama watoto wa mke mkubwa walihudhuria hata mama yao angekuwepo tu. Sidhani huyo mama anawaza Mali. Angekuwepo tu kuwafariji wanae waliofiwa na baba yao. Mtoto akilia pembeni anamuona mama anapata nguvu. Ni ushamba, chuki, umwamba, uroho, ubabe kumtenga. Sababu akiamua kudai Mali ikiwa sheria inampendelea hata asipohudhuria msiba atapewa tu.
 
Wanaume wengi wakipata pesa na umaarufu wanawaacha wake zao walioanza nao maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…