evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,989
- 9,948
Hasira za nini? Mchezo huu hautaki hasira. Consummation of the marriage unaifahamu. Utathibitishaje kuwa mtu ni mke wake bila hiyo kitu. Natamani kujua kama wewe ni Me au Ke maana kama ni Ke, nakusamehe ila kama ni Me, big no
Sasa kabila linaingiaje hapo ..hata Jaqueline alikuwa mchagga kwani ….Huyo mke mkubwa ndio alikua wa kwanza kumkana mwenzie hamjui,alishaleta tamaa zake za kichaga ikiwa zaidi ya miaka 30 wametengana na ndugai
Mkuu, acha povu. Ndoa inaweza kuvunjwa kama kutakuwa na uthibitisho kuwa wana ndoa hawatakuwa na uwezekano wa vikojoleo vyao kugusana milele. Au kama mmoja akikitoa kikojoleo chake kwa mtu baki na ikathibitishwa kuwa ni kweli, hapo ndoa chali. Naamini nimethibitisha kuwa cheti ni karatasi tu (kama samia alivyosema Katiba ni...)Swali gani hilo kwangu.
Unawezaje kuleta hoja hiyo kwa watu ambao wamezaa watoto.
Hata hujui kitu wewe unaokoteza mambo hata hujui yanatumika kwenye muktadha upi .
Na hiyo ishu unatumika Mara nyingi kudai talaka let's say mwanaume ambaye hadindishi kamuoa mwanamke.
Sasa baada ya ndoa mwanamke akitaka tendo mwanaume akishindwa kumpa ,huyo mwanamke anaweza kwenda mahakamani kudai kwamba ndoa haijakamilika mwezangu hajawahi kuniingilia .
Sasa hapo mahakama itachunguza na kutafuta tatizo ikigundulika kweli jamaa hajawahi kumuingilia na hawezi ndoa inavunjwa.
Sasa hiyo ishu inaingiqje kwa ndugai na stela ambao walioana wakazaa watoto sijui watatu halafu ndugai akamtelekeza .
Wewe hujui hata unaloongeq
Kosa la marehemu hilo.Mke Mdogo wa Ndugai, ndio anayetambulika na Serikali Ila kihualisia na mke mkubwa anafahamika na Serikali nikimaanisha wanamjua na anajulikana na viongozi wa Serikali.
Ilibidi wakae nae, waomboleze nae msiba na sio kumtenga.
Ubinadamu, utu ni muhimu kuzidi Mali, pesa na umaarufu.
Ikiwa huyu mke mkubwa ametengwa katika Msiba je katika Mali itakuaje?.
Hayo mafao na benefits nyingine anabidi na Huyo mke mkubwa kupata.
Hizi sheria lazima zizingatie utu na ubinadamu.
Pia nawapa pole wanafamilia ndugu na jamaa kwa msiba huu mzito , Mungu akawe mfariji wenu .
Yes , alikosea Ila ameshasamehewa na tunamuombea AmaniKosa la marehemu hilo.
Mkuu, acha povu. Ndoa inaweza kuvunjwa kama kutakuwa na uthibitisho kuwa wana ndoa hawatakuwa na uwezekano wa vikojoleo vyao kugusana milele. Au kama mmoja akikitoa kikojoleo chake kwa mtu baki na ikathibitishwa kuwa ni kweli, hapo ndoa chali. Naamini nimethibitisha kuwa cheti ni karatasi tu (kama samia alivyosema Katiba ni...)
We danga tuoneshe ht picha moja. Nyie nyumbu ni mapumbavu mpk aibu.Mke Mdogo wa Ndugai, ndio anayetambulika na Serikali Ila kihualisia na mke mkubwa anafahamika na Serikali nikimaanisha wanamjua na anajulikana na viongozi wa Serikali.
Ilibidi wakae nae, waomboleze nae msiba na sio kumtenga.
Ubinadamu, utu ni muhimu kuzidi Mali, pesa na umaarufu.
Ikiwa huyu mke mkubwa ametengwa katika Msiba je katika Mali itakuaje?.
Hayo mafao na benefits nyingine anabidi na Huyo mke mkubwa kupata.
Hizi sheria lazima zizingatie utu na ubinadamu.
Pia nawapa pole wanafamilia ndugu na jamaa kwa msiba huu mzito , Mungu akawe mfariji wenu .
Ahaaa !!!! SawaWe danga tuoneshe ht picha moja. Nyie nyumbu ni mapumbavu mpk aibu.
Kwa taarifa yako, masuala ya sheria zenu sihusiki. Nahusika na reality tu. Mnakazana as if mlikuwa ndugai mnamshikia mguu. Yeye alimkataa, nyie nani kumkabidhi hususan baada ya kufa? Utapeli huoKweli wewe akil zako fupi Sasa kwa hiyo ulikuwa unataka kusema nini kwenye hii kesi ya marehemu ndugai na mke wake wa kwanza.
Kwamba nani akadai talaka. Sasa marehemu au mjane?
Wewe jamaa hujielewi wala hujui unachojadili unajiandikia mambo mkanganyiko .
Embu pangilia hoja zako zieleweke kwenye muktadha wa suala la.marehemu ndugai .
Inaelekea unaka certificate chako cha sheria kutoka data star college .
Kwa kifupi sikuelewi wewe dogo
Huyo Dogo huwa anaandika Pumba sana . mui- ignore tu mkuu is laymanKweli wewe akil zako fupi Sasa kwa hiyo ulikuwa unataka kusema nini kwenye hii kesi ya marehemu ndugai na mke wake wa kwanza.
Kwamba nani akadai talaka. Sasa marehemu au mjane?
Wewe jamaa hujielewi wala hujui unachojadili unajiandikia mambo mkanganyiko .
Embu pangilia hoja zako zieleweke kwenye muktadha wa suala la.marehemu ndugai .
Inaelekea unaka certificate chako cha sheria kutoka data star college .
Kwa kifupi sikuelewi wewe dogo
Inaijua mila moja ya kigogo inaitwa Suutani? Muulize Nkambako.Mi mbona pangechimbika
Na watt wa bi mkubwa wajinga ,yaani ningesimama na mama angu angethubutu kumgusa mtu
Mke mkubwa3 mke mdogo inasemekana hawakubahatika kupata mtoto...Mwamba kaacha watoto wangapi kwa mke mkubwa na mdogo?
Kwenye Sheria Kuna Mila?Inaijua mila moja ya kigogo inaitwa Suutani? Muulize Nkambako.
Nimeona mke wa jamaa kaekwa kundi la watoto aseehWanaume wengi wakipata pesa na umaarufu wanawaacha wake zao walioanza nao maisha
Unasimama kudai nini? Utapinga kuwa baba Yako hakuoa mwanamke mwingine? Utaonekana kituko wewe na huyo mama Yako hapo msibaniMi mbona pangechimbika
Na watt wa bi mkubwa wajinga ,yaani ningesimama na mama angu angethubutu kumgusa mtu