Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Hapa sijagonga mwamba, nimeishi huko na ninajuwa nikisemacho japo kuna baadhi ya uliyoandika nimeyakubali kwani ni ukweli mtupu ila I stand for what I say kuhusu Kusini because nimeishi kule na nimeyaona. Yote niliyoyasema si ya kuambiwa.Kuhusu imani za kishirikina watu wa bara wanaongoza.
Aya masuala ya kufuga majini sijui uchawi ni propaganda za kidini.
Watu wa pwani wanaamin muislamu anamiliki majini hivyo kuhusisha dini na uchawi. Hakuna huo uchawi unaousema pwani.
Ila utauona kama ulikuja kuwajaribu watu wa pwani na uchawi wako TOKA bara.
Pole maana inaonekana uligonga mwamba unaamua kuanika tabia zako na ndugu zako
We ukipata pesa unawaza kujenga tu?π πHao Wamatumbi na Wangindo pesa wanayopata wanajenga wapi ? Ifike mahala tukubali tu kuwa watu wa ukanda wa pwani sehemu kubwa ni wavivu, mbona maeneo hayohayo wanaoishi wimbi la wahamiaji Wasukuma wanazalisha chakula kingi jambo ambalo liliwashinda wenyeji.
Umeishi huko Miaka mitano ukikuwa unatafuta nini mbona hukukaa huko kwenu kwenye maendeleo? Mwaka wa kwanza hafi wa tano we unatofauti gani na wao?Hapa sijagonga mwamba, nimeishi huko na ninajuwa nikisemacho japo kuna baadhi ya uliyoandika nimeyakubali kwani ni ukweli mtupu ila I stand for what I say kuhusu Kusini because nimeishi kule na nimeyaona. Yote niliyoyasema si ya kuambiwa.
Apa ww tuh ndio ulijistukia kuwa unachunguzwa. Watu wengi wa ukanda wa pwani wanapenda kupeleleza. Na hii ni kwa usalama wao maana ni maeneo ya mipakani.Tumalize hii hoja, naona unabisha tu kwa sababu ya kutaka kubisha. Nimekuelewa sana na nimekuambia katika majibu yangu kuwa si kila aliye pale pwani ni mvuvi, Yes wavuvi wana muda wao wa kuvua ila pale pwani utakuta wavaa shuka toka asubuhi mpaka jioni wako pale tu kazi yako kuchunguza wenzao na ushirikina tu.
Vp mikoa inayoendekeza ukristo wananchi wake wapoje? Kagera,mara,shinyanga halafu njoo tujadili! Udini unakuongezea nini kwenye akaunti yako ya benk! Tafuta pesa acha kulia kulia hiyo mikoa unayosema inaendekeza dini ya kiislamu kuna watu wana hela hata ukoo wenu hawafukii!Hivi ushawahi ishi mikoa inayoendekeza dini ya Kiislam na kuona wananchi wake wakoje huko? Basi fanya tafiti zako kisha rudi hapa kabla hujajiua kwa haibu.....fika Zanzibar au Tanga uone mifano yake.
Malofa tuh watu wa bara. Washamba hawajui ata maisha ni nn.We ukipata pesa unawaza kujenga tu?[emoji28][emoji28]
Hakuna cha Geographia. Lindi na Mtarwa ni sehemu ambayo inakubali mazao hata mahindi tatizo huko watu wana umwinyi sana.GeographIa ndiyo inaamua zao fulani lilimwe sehemu fulani. Hujiulizi kwanini hao Wambulu hawalimi korosho na mbaazi?.
Au lindi, shame!Hivi ushawahi ishi mikoa inayoendekeza dini ya Kiislam na kuona wananchi wake wakoje huko? Basi fanya tafiti zako kisha rudi hapa kabla hujajiua kwa haibu.....fika Zanzibar au Tanga uone mifano yake.
Hakuna mikoa inayoendekeza ukristo bali kuna mikoa yenye wakristo wengi. Wangekuwa wanaendekeza ukristo, kipindi cha mfungo. Ungekuwa unachapwa bakora kama Zanzibar. Ukristo haupo hivyo na ukristo hauna sheria wala mahakamaVp mikoa inayoendekeza ukristo wananchi wake wapoje? Kagera,mara,shinyanga halafu njoo tujadili! Udini unakuongezea nini kwenye akaunti yako ya benk! Tafuta pesa acha kulia kulia hiyo mikoa unayosema inaendekeza dini ya kiislamu kuna watu wana hela hata ukoo wenu hawafukii!
Una uhakika.Nenda mwenyewe Rombo kajionee Acha kusikiza ya vijiwe.Kati wilaya zenye maendelea katika maeneo ya vijijini Rombo ni mojawapo.Kuanzia makazi, shule na maisha kwa ujumla .Kuhusu Mtwara nanda pia kashuhudie uloyqsikia halafu rudi utoe hitimisho.Mtizamo wa Kipumbavu! Usiamini Kila unayosikia!
Vipi kuhusu Rombo ambao wao ni kupiga ulabu tu mpaka wanshindwa kutembea!
Wanaoa msimu wa mavuno ukiisha wanatalikiana nanda kajioneeHao jamaa wakishavuna korosho wanashinda wamelala wengine bar kusubiri msimu mwingine hawafikirii nje ya box
Kwasababu Lindi na Mtwara kuna watu wenye tabia kijinga (uvivu) basi unawaona watu wote wajingaπππHAPA MKUU UNAONYESHA TABIA YA KIJINGA SANA.
Zanzibar lazima uone aibuππHivi ushawahi ishi mikoa inayoendekeza dini ya Kiislam na kuona wananchi wake wakoje huko? Basi fanya tafiti zako kisha rudi hapa kabla hujajiua kwa haibu.....fika Zanzibar au Tanga uone mifano yake.
Tafuta hela wewe usiwe mjinga wewe kati hivyo umefanikisha nini? Kwanza ukoo wenu leo wanakula nini?Hakuna mikoa inayoendekeza ukristo bali kuna mikoa yenye wakristo wengi. Wangekuwa wanaendekeza ukristo, kipindi cha mfungo. Ungekuwa unachapwa bakora kama Zanzibar. Ukristo haupo hivyo na ukristo hauna sheria wala mahakama
Bila jitahada za makafiri kutengeneza mazingira mazuri ya waislamu kupata ridhiki sasa hivi ungekuwa unamiliki
1. Kanzu
2. Ungekuwa na elimu ya madrasa
3. Msikiti
4. Mkojo wa ngamia
5. Tende
6. Ngamia
7. Maji ya zamzam
8. Kisima cha kujitawazia
Ukimwambia Bakhera au Mo atupe vitu vya makafiri anabakiwa na 1-8.
Hiyo simu unayotumia, wametengeza makafiri. Itupe tuone kama wewe ni muislamu wa kweliππππ
una watu wana hela wanalisha ukoo wenu mzimaKwasababu Lindi na Mtwara kuna watu wenye tabia kijinga (uvivu) basi unawaona watu wote wajingaπππ
Mikorosho nayo unaweza kusema ni mazao? Umepanda miti ya mikorosho miaka 15 iliyopita unavuna km maembe tu. Mtwara na Lindi inasikitisha sana na wala siyo sehemu ya kutafuta maisha
Labda ukoo wenu maana kwenu mahitaji ni debe la unga na dagaa tu. (Kula) Waislamu kipaumbele chao ni chakula, hawa watu wanapenda kula kuliko maendeleo. Muislamu ni bora ale vizuri ila alale kwenye mkekaπππK
una watu wana hela wanalisha ukoo wenu mzima
Hahah kweli? au unataniaWanaoa msimu wa mavuno ukiisha wanatalikiana nanda kajionee
Mtwara hamna udini. Sema sababu nyingine.Tatizo la kule ni dini isiyokuwa na tija kwa wananchi, ni kama Tanga au Bagamoyo tu. Mtu anaamka asubuhi kavaa shuka aliyolalia jana na kwenda kushinda msikitini hata mswaki hajapiga. Hana wazo la kwenda shambani kufanya kazi wala nini, anataka kukaa tu na wenzake wakisengenya waendao makazini kuwa wanaringa na kutishia maisha yao.
Wewe hujawahi kufika Mtwara ndo maana unaleta pumba zako hapa. Kwa taarifa yako Mtwara wakatoliki ni wengi zaidi kuliko dini zingine. Sababu za Mtwara kuchelewa kupata maendeleo haina uhusiano na udini. Mtrwawa hakuna udini bali Serikali ilichelewesha miundombinu muhimu kama vile barabara n.kKorosho, mbaazi na ufuta ni mazao ya kivivu
Sehemu yenye wavaa kobazi wengi hawana maendeleo angalia Singida, Shinyanga mjini, Pwani, Lindi, Tanga na Mtwara.
Mikorosho imepandwa miaka 15 iliyopita kama maembe halafu anajiita mchapakaziππππ
Nilienda Masasi kijiji cha Kinamatunu. Kutoka kijiji mpaka masasi kwa mguu unatumia dk 45 mpk 50 kufika lkn hakina mabomba ya maji wala umeme. Nenda Karatu (Mang'ola, umeme na maji ya bomba ni uhakika). Wairaq wanaendesha Land cruiser na Defender (TDI) ambapo huko kwenu ukiona ni magari ya serikali tena taasisi, jeshi au polisi. Ni miti ya mikorosho tu imepandwa ili apate muda mwingi wa kupumzika.