Sikutegemea kama Mtwara ina fursa kiasi hiki

Sikutegemea kama Mtwara ina fursa kiasi hiki

Kuhusu imani za kishirikina watu wa bara wanaongoza.
Aya masuala ya kufuga majini sijui uchawi ni propaganda za kidini.
Watu wa pwani wanaamin muislamu anamiliki majini hivyo kuhusisha dini na uchawi. Hakuna huo uchawi unaousema pwani.
Ila utauona kama ulikuja kuwajaribu watu wa pwani na uchawi wako TOKA bara.

Pole maana inaonekana uligonga mwamba unaamua kuanika tabia zako na ndugu zako
Hapa sijagonga mwamba, nimeishi huko na ninajuwa nikisemacho japo kuna baadhi ya uliyoandika nimeyakubali kwani ni ukweli mtupu ila I stand for what I say kuhusu Kusini because nimeishi kule na nimeyaona. Yote niliyoyasema si ya kuambiwa.
 
Hao Wamatumbi na Wangindo pesa wanayopata wanajenga wapi ? Ifike mahala tukubali tu kuwa watu wa ukanda wa pwani sehemu kubwa ni wavivu, mbona maeneo hayohayo wanaoishi wimbi la wahamiaji Wasukuma wanazalisha chakula kingi jambo ambalo liliwashinda wenyeji.
We ukipata pesa unawaza kujenga tu?😅😅
 
Hapa sijagonga mwamba, nimeishi huko na ninajuwa nikisemacho japo kuna baadhi ya uliyoandika nimeyakubali kwani ni ukweli mtupu ila I stand for what I say kuhusu Kusini because nimeishi kule na nimeyaona. Yote niliyoyasema si ya kuambiwa.
Umeishi huko Miaka mitano ukikuwa unatafuta nini mbona hukukaa huko kwenu kwenye maendeleo? Mwaka wa kwanza hafi wa tano we unatofauti gani na wao?
 
Tumalize hii hoja, naona unabisha tu kwa sababu ya kutaka kubisha. Nimekuelewa sana na nimekuambia katika majibu yangu kuwa si kila aliye pale pwani ni mvuvi, Yes wavuvi wana muda wao wa kuvua ila pale pwani utakuta wavaa shuka toka asubuhi mpaka jioni wako pale tu kazi yako kuchunguza wenzao na ushirikina tu.
Apa ww tuh ndio ulijistukia kuwa unachunguzwa. Watu wengi wa ukanda wa pwani wanapenda kupeleleza. Na hii ni kwa usalama wao maana ni maeneo ya mipakani.
Kwahyo anapotokea mtu mgeni lazima wapambane kumfaham katokea wapi,
Kaja kufanya nn,
Amefikia kwa nani? Wanafahamiana.??

Kwahyo msingi wa kumfuatilia mtu upo kiusalama zaidi na sio umbea kama mnavyotafsiri.

Sisi ukiwa mgeni lazima tukufaham mzee.

Uje kwetu hatukujui alafu unataka tukuache tuh kmya,
Je kama ni muhalifu.
Tutawachunguza hadi mkome. Na lazima tuwajue mmetokea wap, mmekuja kufanya nn ili aman iendelee.
Kwan baada ya wao kukufaham kuna kibaya unafanyiwa??
 
Hivi ushawahi ishi mikoa inayoendekeza dini ya Kiislam na kuona wananchi wake wakoje huko? Basi fanya tafiti zako kisha rudi hapa kabla hujajiua kwa haibu.....fika Zanzibar au Tanga uone mifano yake.
Vp mikoa inayoendekeza ukristo wananchi wake wapoje? Kagera,mara,shinyanga halafu njoo tujadili! Udini unakuongezea nini kwenye akaunti yako ya benk! Tafuta pesa acha kulia kulia hiyo mikoa unayosema inaendekeza dini ya kiislamu kuna watu wana hela hata ukoo wenu hawafukii!
 
We ukipata pesa unawaza kujenga tu?[emoji28][emoji28]
Malofa tuh watu wa bara. Washamba hawajui ata maisha ni nn.
Ngoja waje pwani wajifunze maisha. Watafaham kuwa maisha ni zaidi ya kujenga.
Pwani maisha ni kula vzr, kufurahi, kuheshimiana, kutaniana n.k

Wakati bara maisha ni kushindana na kutambiana, kujitesa.

Watu wa bara washamba tuh. Na mnapokuja huku jueni sisi tunawachukulia nyie washamba tuh
 
GeographIa ndiyo inaamua zao fulani lilimwe sehemu fulani. Hujiulizi kwanini hao Wambulu hawalimi korosho na mbaazi?.
Hakuna cha Geographia. Lindi na Mtarwa ni sehemu ambayo inakubali mazao hata mahindi tatizo huko watu wana umwinyi sana.
Wanalima mazao ya kivivu wapate muda mwingi wa kupumzika na kucheza bao Singida kuna baadhi ya maeneo walikuwa wamepanda mikorosho. Mbaazi na ufuta kwani yanalimwa Mtwara tu? Arusha kuna mbaazi za kutosha zipo
 
Vp mikoa inayoendekeza ukristo wananchi wake wapoje? Kagera,mara,shinyanga halafu njoo tujadili! Udini unakuongezea nini kwenye akaunti yako ya benk! Tafuta pesa acha kulia kulia hiyo mikoa unayosema inaendekeza dini ya kiislamu kuna watu wana hela hata ukoo wenu hawafukii!
Hakuna mikoa inayoendekeza ukristo bali kuna mikoa yenye wakristo wengi. Wangekuwa wanaendekeza ukristo, kipindi cha mfungo. Ungekuwa unachapwa bakora kama Zanzibar. Ukristo haupo hivyo na ukristo hauna sheria wala mahakama
Bila jitahada za makafiri kutengeneza mazingira mazuri ya waislamu kupata ridhiki sasa hivi ungekuwa unamiliki
1. Kanzu
2. Ungekuwa na elimu ya madrasa
3. Msikiti
4. Mkojo wa ngamia
5. Tende
6. Ngamia
7. Maji ya zamzam
8. Kisima cha kujitawazia
Ukimwambia Bakhera au Mo atupe vitu vya makafiri anabakiwa na 1-8.
Hiyo simu unayotumia, wametengeza makafiri. Itupe tuone kama wewe ni muislamu wa kweli😀😀😀😀
 
Mtizamo wa Kipumbavu! Usiamini Kila unayosikia!

Vipi kuhusu Rombo ambao wao ni kupiga ulabu tu mpaka wanshindwa kutembea!
Una uhakika.Nenda mwenyewe Rombo kajionee Acha kusikiza ya vijiwe.Kati wilaya zenye maendelea katika maeneo ya vijijini Rombo ni mojawapo.Kuanzia makazi, shule na maisha kwa ujumla .Kuhusu Mtwara nanda pia kashuhudie uloyqsikia halafu rudi utoe hitimisho.
 
HAPA MKUU UNAONYESHA TABIA YA KIJINGA SANA.
Kwasababu Lindi na Mtwara kuna watu wenye tabia kijinga (uvivu) basi unawaona watu wote wajinga😀😀😀
Mikorosho nayo unaweza kusema ni mazao? Umepanda miti ya mikorosho miaka 15 iliyopita unavuna km maembe tu. Mtwara na Lindi inasikitisha sana na wala siyo sehemu ya kutafuta maisha
 
Hivi ushawahi ishi mikoa inayoendekeza dini ya Kiislam na kuona wananchi wake wakoje huko? Basi fanya tafiti zako kisha rudi hapa kabla hujajiua kwa haibu.....fika Zanzibar au Tanga uone mifano yake.
Zanzibar lazima uone aibu😀😀
1. Ikifika kipindi cha ramadhan wanapita na mafimbo kuchapa watu wanaokula mchana. Migahawa na maduka ya chakula yanafungwa ni lazima. Hakuna kula nje wala kupika nje la sivyo viboko vinakuhusu.
2. Ligi kuu ya Zanzibar inasimama ili watu wakale daku na futari. Unasimamisha mechi za mpira kisa futari? Hii aibu. Hapa bara ligi ya mpira inachezwa km kawaida.😀😀😀
Aibu
 
Hakuna mikoa inayoendekeza ukristo bali kuna mikoa yenye wakristo wengi. Wangekuwa wanaendekeza ukristo, kipindi cha mfungo. Ungekuwa unachapwa bakora kama Zanzibar. Ukristo haupo hivyo na ukristo hauna sheria wala mahakama
Bila jitahada za makafiri kutengeneza mazingira mazuri ya waislamu kupata ridhiki sasa hivi ungekuwa unamiliki
1. Kanzu
2. Ungekuwa na elimu ya madrasa
3. Msikiti
4. Mkojo wa ngamia
5. Tende
6. Ngamia
7. Maji ya zamzam
8. Kisima cha kujitawazia
Ukimwambia Bakhera au Mo atupe vitu vya makafiri anabakiwa na 1-8.
Hiyo simu unayotumia, wametengeza makafiri. Itupe tuone kama wewe ni muislamu wa kweli😀😀😀😀
Tafuta hela wewe usiwe mjinga wewe kati hivyo umefanikisha nini? Kwanza ukoo wenu leo wanakula nini?
 
K
Kwasababu Lindi na Mtwara kuna watu wenye tabia kijinga (uvivu) basi unawaona watu wote wajinga😀😀😀
Mikorosho nayo unaweza kusema ni mazao? Umepanda miti ya mikorosho miaka 15 iliyopita unavuna km maembe tu. Mtwara na Lindi inasikitisha sana na wala siyo sehemu ya kutafuta maisha
una watu wana hela wanalisha ukoo wenu mzima
 
K
una watu wana hela wanalisha ukoo wenu mzima
Labda ukoo wenu maana kwenu mahitaji ni debe la unga na dagaa tu. (Kula) Waislamu kipaumbele chao ni chakula, hawa watu wanapenda kula kuliko maendeleo. Muislamu ni bora ale vizuri ila alale kwenye mkeka😀😀😀
Elimu ya madrasa, ukiwa na 5,000 umemaliza shule.
Mm mwenyewe tu gari ya kutembelea maporini shambani na kupeleka wafanyakazi ni Land cruser (T.D.I yaani defender). Fika Mang'ola, zile gari za polisi na wanajeshi kwao ndizo gari za mashambani
 
Tatizo la kule ni dini isiyokuwa na tija kwa wananchi, ni kama Tanga au Bagamoyo tu. Mtu anaamka asubuhi kavaa shuka aliyolalia jana na kwenda kushinda msikitini hata mswaki hajapiga. Hana wazo la kwenda shambani kufanya kazi wala nini, anataka kukaa tu na wenzake wakisengenya waendao makazini kuwa wanaringa na kutishia maisha yao.
Mtwara hamna udini. Sema sababu nyingine.
 
Korosho, mbaazi na ufuta ni mazao ya kivivu
Sehemu yenye wavaa kobazi wengi hawana maendeleo angalia Singida, Shinyanga mjini, Pwani, Lindi, Tanga na Mtwara.
Mikorosho imepandwa miaka 15 iliyopita kama maembe halafu anajiita mchapakazi😀😀😀😀
Nilienda Masasi kijiji cha Kinamatunu. Kutoka kijiji mpaka masasi kwa mguu unatumia dk 45 mpk 50 kufika lkn hakina mabomba ya maji wala umeme. Nenda Karatu (Mang'ola, umeme na maji ya bomba ni uhakika). Wairaq wanaendesha Land cruiser na Defender (TDI) ambapo huko kwenu ukiona ni magari ya serikali tena taasisi, jeshi au polisi. Ni miti ya mikorosho tu imepandwa ili apate muda mwingi wa kupumzika.
Wewe hujawahi kufika Mtwara ndo maana unaleta pumba zako hapa. Kwa taarifa yako Mtwara wakatoliki ni wengi zaidi kuliko dini zingine. Sababu za Mtwara kuchelewa kupata maendeleo haina uhusiano na udini. Mtrwawa hakuna udini bali Serikali ilichelewesha miundombinu muhimu kama vile barabara n.k
 
Back
Top Bottom