Silaa, Polepole na Gwajima waitwa Kamati Kuu ya CCM kujieleza

Mbona toka wakati wa Magufuli haya mambo ndiyo yalitiliwa mkazo?
 
Unampenda sana JPM?tangia atutoke atutoke so what mother fuc*****
 
Uhai wa chama chao cha ccm unategemea utamaduni waliojiwekea wa KULINDANA!!! Hata kama mahala pana uvundo wao watasema kuna MARASHI!!! Hiyo ndio ccm yenye wenyewe!
Mbona hawajamlinda Sabaya?
 
Haijalishi ila hakika Polepole ni mwanaccm haswaa na kiongozi mwandamizi haswaa kaongea kidogo ila daah Big up Polepole, look at his composure, elite words, depth ya Sauti, amazing amazing well done comrade.
 
Hizi taratibu zote, mpaka zile sheria gandamizi za awamu ya 5, Polepole alikuwa kinara, na sasa anafurahia matunda ya kazi yake.

CCM nawapongeza kwa kuutambu mchango wa Polepole, na hivyo kuwa miongoni mwa wafaidika wa sheria zile alizoshiriki kuziweka.

Tinaambiwa Polepole ndiye alikuwa akiendaa orodha ya watu wa kuteka na kupotezwa, kisha anamkabidhi Bashite. Na yeye angatekwa lingekuwa jambo jema ili ayafaidi matunda ya kazi yake.
 
Mkuu ningewaona wa maana CCM kama wangewaita akina Diallo,Nape, Bulembo ambao nao walitoa maneno yasiyo na staha hii ni double standard ya wnye CCM kutaka kukomoana kwa wasiojikomba na wasema ukweli
Kwani umeambiwa kuwa wanaitwa kwa sababu ya kutoa maneno dhidi ya wanachama wenzao?

Wameitwa kwa sababu ya kwenda kinyume na msimamo wa Rais.
 
Sahihisho; polepole na bashite walikuwa maadui wakubwa hawajawahi kuwa wamoja, hii ni hadi kesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…