Silaa, Polepole na Gwajima waitwa Kamati Kuu ya CCM kujieleza

Alihoji Bernad Membe kuhusu haki yake ya kuwa mgombea Urais kwenye chama 2020 na matokeo yake alifukuzwa uwanachama.
Bora huyu nilimuelewa kuwa alikuwa akiutaka urais, na Katiba yao ipo wazi kila baada ya miaka mitano urais unashindanishwa tena. Sasa Polepole hoja yake nini? Kama ni kukosoa serikali, yeye ni mbunge hivyo aende kule bungeni kuikosoa serikali atakavyo. Kama wateule wa Rais, Katiba pia haimzuii Rais kuteua awatakao iwapo anaona wanafaa. Kila Rais alifanya hivyo na yeye anajua. Wamfute tu Ili ajue "what goes around comes around'
 
Hana hata siri moja. Kavurugwa tu
 
Kinacho muuma Polepole na Gwajima ni serikali kukubali na kuamini kuwa covid ipo nchini na inaua.

Pia kuamini kuwa chanjo ndiyo njia pekee ya kuwanusuru watanzania dhidi ya janga la covid.

Wao waliamini ktk maagizo ya jiwe kuwa covid haiwezi kuingia nchini Tanzania na kama ingeingia basi nyungu na kunifukiza ndiyo ilikuwa dawa pekee.
 
Ni mjinga tu ndiye ataamini kuwa Corona ni kitu cha mchezo.
 
Kwa umri ilionao ccm na mambo wanayofanya haviendani, hawakujifunza kwa maalim seif na wenzake walipokuwa ccm wakawa wanahoji mambo. Hii yote kufikiri kila mtu anaweza kuwa mwanasiasa. Wote waliowaita wana uwezo mkubwa wa kujenga hoja, wakati waliobaki wanatumia siasa za vitisho.
 
Kweli kabisa. Tofauti iliyopo ni kwamba Membe hakuwa na madhara lakini hawa jamaa wanawakilisha kundi kubwa sana la watu nyuma yao. Imagine kuwaadhibu hawa watu eti kisa wameamua kusimama imara dhidi ya ukoloni mamboleo wa siasa za corona na chanjo yake! Zaidi ya silimia 90 ya watz tunawaunga mkono.
 
Kama ndivyo anahitaji protection huyu vinginevyo watammaliza tu...

Na ulinzi anaopaswa kuwa nao si huu tunaoujua wa kibinadamu bali ni wa aliye juu yaani BWANA MUNGU - Yehova...

Otherwise, labda anaweza kuwashinda tu wapinzani wake iwapo miungu yake ina nguvu kuizidi miungu ya anaopambana nao, yaani ya Rais Samia Suluhu na wenzake CCM na serikalini...
 
Sema wewe na ukoo wako mnawaunga mkono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…