Kipala
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 3,763
- 700
Nani amekuambia Russian Navy inab ubora fulani? Au unamaanisha jaribio la Moskva kuwa nyambizi??Silaha za kirusi zilizofanya vizuri Ni pamoja na Iskander missiles,
Kalibre missiles,
Terminator mfano wa kifaru.
Bila kusahau
Russian Navy japo hiyo kalibre hutoka humo.
Pia hatuwezi kupuuza uwepo was kazi mzuri zinazoendelea kufanywa na mifumo ya Ulinzi wa anga Russian S 300 PMU,na s400
Lakini Kuna zile zilizofanya vibaya Sana Eg vifaru model ya T 72 ambacho Ni kizazi Cha tatu Cha vifaru .
Ukiachana na Hilo kina model hii ya kifaru inaitwa t90 imeendelea kufanya vizuri Mashariki mwa Ukraine licha ya uwepo was JAVELIN Anti Tank Missiles