Polisi/Traffic wanatoweka barabarani usiku labda iwepo operation hivyo hata hofu ya kukatwa points kwa madereva ni mchana zaidi.Wakiambiwa wao ni wazembe wawekewe point, Wanaandamana ona sasa wanavo ua watanzania wa watu.
Wenye akili watakuelewaMkuu, barabara zingekuwa nzuri hizo ajali zingepungua sana. Mfano barabara zingekuwa zimetenganishwa kwa namna ambayo magari ya upande mmoja na upande mwingine hayakutani hata iweje, hata dereva aweje,ajali za magari kugongana uso kwa uso ambazo ndo nyingi zisingekuwepo. Hata hii ajali iliyotokea leo isingetokea. Nchi ambazo madereva ni wastaarabu bado wamejenga barabara ambazo magari ya upande mmoja na upande mwingine hayakutani hata iweje, kwanini sisi ambao madereva hawajastaarabika bado tunajenga barabara nyembamba?.
hizi ni siasa jamii imemezeshwa ,Pole kwa raia aliyefariki
Akili za ccm siku zote ni kukandamiza upande dhaifu hata kama hauna kosaHapanaaaa waendelee kukimbiza mzidi kufa.
Swala la ajali sio la ccm wala chadema.Akili za ccm siku zote ni kukandamiza upande dhaifu hata kama hauna kosa
Abiria wa wapi? Aliyeovertake ni dereva wa lori, aliingia upande usio wake!Mkuu unataka kumlaumu waziri Tena,,?
Kwa pressure Ile angefanya Nini ?
Waziri aliita wasanii wastukane tuliongea nn ?
SISI watanzania Kuna mda ni wanafki sana,
Hata waziri alikubali kwa sababu pressure ilikuwa kubwa,wamiliki wa mabasi Wanafasi serikali na pia wana pesa ,mzigo unabaki kwetu sisi.
Hii ajari ni dereva ameovertake,,,
Yan RTO au jeshi la polisi lisimamie dereva asiovatake HEB tuwe serious ,mfano tuu wakati ana overtake hao abiria walichukua hatua Gani?
.humhum jamii forum kundi kubwa lilipiga makofi Madereva wasikatwe point .haya ndo majibu ya mtihani
Wapumzike kwa amani
Mkuu CHANZO CHA AJARI NI BARABARA NYEMBAMBA kwanini hamtaki kusema ukweli anayapita magari ya upande gani na kwanini akiyapita akutane na gari lingine uso kwa uso? Kwanini wasitengeneze njia nne au nane kama mbezi-kibaha ambapo yakwenda hayakutani na yakurudiCHANZO CHA AJALI DEREVA WA LORI KUJARIBU KUYAPITA MAGARI YALIO MBELE YAKE.
Umejibu kama vile unaishi mbinguni!Swala la ajali sio la ccm wala chadema.
Hapo wamesema CHANZO CHA AJALI DEREVA WA LORI KUJARIBU KUYAPITA MAGARI YALIO MBELE YAKE.
kama wewe kweli dereva unatakiwa uovatake magari mangapi?na katika HALI GANI?.
Mimi nawaangalia tu mtakufa sana
Kwa hyo kama barabara nyembamba umewakuta wenzako mbele wewe unatanua kulia uwapite ili ukae mbele Yao?hayaaa.Mkuu CHANZO CHA AJARI NI BARABARA NYEMBAMBA kwanini hamtaki kusema ukweli anayapita magari ya upande gani na kwanini akiyapita akutane na gari lingine uso kwa uso? Kwanini wasitengeneze njia nne au nane kama mbezi-kibaha ambapo yakwenda hayakutani na yakurudi
Ukiachana na ajali za uso kwa uso,kuna malori yanaharibika na kuachwa barabarani bila triangle tena kwenye kona hivyo hata njia hizo ajali zitakuwepo tu usiku kwa uzembe wa madereva.Mkuu, barabara zingekuwa nzuri hizo ajali zingepungua sana. Mfano barabara zingekuwa zimetenganishwa kwa namna ambayo magari ya upande mmoja na upande mwingine hayakutani hata iweje, hata dereva aweje,ajali za magari kugongana uso kwa uso ambazo ndo nyingi zisingekuwepo. Hata hii ajali iliyotokea leo isingetokea. Nchi ambazo madereva ni wastaarabu bado wamejenga barabara ambazo magari ya upande mmoja na upande mwingine hayakutani hata iweje, kwanini sisi ambao madereva hawajastaarabika bado tunajenga barabara nyembamba?.
wakiwemo askari polisi watatu na raia mmoja, huku askari wengine kadhaa wakijeruhiwa.
1. mwenyezi Mungu wa Rehema awape pumziko jema wote waliofariki katika ajali ya bus na loriMkoa wa Morogoro na Taifa tumekumbwa na simanzi kubwa kufuatia ajali mbili mbaya za barabarani zilizotokea usiku wa kuamkia leo Ijumaa, Oktoba 9, 2026, na kusababisha vifo vya jumla ya watu 32 na majeruhi zaidi ya 37.
Ajali ya kwanza na yenye maafa makubwa zaidi ilitokea majira ya saa 4:30 usiku huko Mkambarani kwenye barabara ya kuelekea Dar es Salaam, ikihusisha basi la abiria la kampuni ya Drim Line (T 672 DLT) lililokuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Mbeya na lori la Scania (T 902 EGN) lililobeba mbao. Magari hayo yaligongana uso kwa uso na kuwaka moto mkubwa ulioteketeza miili ya marehemu, ambapo watu 28 walipoteza maisha (abiria 27 wa basi na mtu mmoja kwenye lori) huku watu 37 wakijeruhiwa vibaya kwa moto na fractures na kukimbizwa hospitalini baada ya uokoaji wa usiku kucha uliohusisha vikosi vya Zimamoto.
Uchunguzi wa awali wa Jeshi la Polisi unaonyesha ajali hii ilisababishwa na uzembe wa dereva wa lori aliyekuwa akijaribu kuyapita magari mengine bila tahadhari.
Ajali ya pili ilitokea mapema kidogo majira ya saa 12:45 jioni ya Alhamisi huko Miti Bora, Dumila (Wilaya ya Mvomero) kwenye barabara kuu ya kuelekea Dodoma, ambapo gari la Jeshi la Polisi lililokuwa na askari waliokuwa doria liligongana na lori lingine la Scania. Ajali hii ilisababisha vifo vya watu 4, wakiwemo askari polisi watatu na raia mmoja, huku askari wengine kadhaa wakijeruhiwa.
Kwa sasa, majeruhi wote wanapatiwa matibabu ya dharura katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro, huku Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo, ACP Andrew Kantimbo, akitoa wito wa tahadhari kwa madereva huku uchunguzi zaidi wa kisheria ukiendelea.
endeeleni kutetea ujinga na watawamaliza sana.Umejibu kama vile unaishi mbinguni!
Hapa sasa ndipo Watanganyika wanapenda kusikiavifo vya watu 4, wakiwemo askari polisi watatu
Kuna namna machungu yamepungua baada ya kusikia hao watatu1. mwenyezi Mungu wa Rehema awape pumziko jema wote waliofariki katika ajali ya bus na lori
2.mwenyezi Mungu ampe pumziko jema raia aliefariki kwenye ajali hapo Mti Bora wilaya wa Mvomero
3.Katika ajali hiyo hiyo ya Mtibora,Mvomero Ebaba mwingi wa rehema tunashukuru kwa hao watatu tunasema ahsante kwa kidogo
Ukiwa na jeshi la usalama barabarani lenye weledi, hayo mambo ya malori kuachwa hovyo barabarani hayatakuwepo na madereva watakuwa makini zaidi. Mfano mzuri ni Rwanda, maaskari wao hawatanii. Pia sasahivi kuna teknolojia,huwezi kuweka maaskari kila mahali, ila camera zinaweza kuwepo. Hii inasaidia kuona dereva anaefanya makosa kabla hajasababisha madhara. Sasa Na hilo la mwisho,barabara ziboreshwe na watu wameongea sana kuhusu barabara za ajabu tulizonazoUkiachana na ajali za uso kwa uso,kuna malori yanaharibika na kuachwa barabarani bila triangle tena kwenye kona hivyo hata njia hizo ajali zitakuwepo tu usiku kwa uzembe wa madereva.
Halafu ikitokea dharura gari linatakiwa lirudi lilikotoka unafanyaje hizo njia za uelekeo mmoja?
Pole kwa raia wote,ila wauaji wakutwe na chakuwakuta.hizi ni siasa jamii imemezeshwa ,
kuna ajali mbili zimetokea, kuna basi la mkoa watu 28 wameondoka
Ushawahi kusafiri kutoka dar-mbeya? Maana hapa naweza jadiliana na mtu ambae hata njia yenyewe haijuiKwa hyo kama barabara nyembamba umewakuta wenzako mbele wewe unatanua kulia uwapite ili ukae mbele Yao?hayaaa.
Ni kweli barabara inachangia ila si unawaona wenzio wapo mbele yako lakini.hivi utatumia spidi kiasi gani mpaka uwapite ukae mbele?
Hyo ajali mpaka moto umewaka na kuyaunguza alikuwa kwenye spidi gani mpaka wapate ajali na moto utokee tuwaze wote
Lakini pia katika hiyo ajali lililo kuwa na kasi ni bus maana lilikuwa kwenye njia yake, kwa inavyoonekana dereva wa lori ndio alikuwa aki over take na alikuwa katika mwendo mdogo ndio maana kawahi kubamizwa na busHyo ajali mpaka moto umewaka na kuyaunguza alikuwa kwenye spidi gani mpaka wapate ajali na moto utokee tuwaze wote
Swala la ajali sio la ccm wala chadema.
Hapo wamesema CHANZO CHA AJALI DEREVA WA LORI KUJARIBU KUYAPITA MAGARI YALIO MBELE YAKE.
kama wewe kweli dereva unatakiwa uovatake magari mangapi?na katika HALI GANI?.
Mimi nawaangalia tu mtakufa sana
Kwa hyo huyo dereva kapata ajali akiwa na speed ya 40?Ushawahi kusafiri kutoka dar-mbeya? Maana hapa naweza jadiliana na mtu ambae hata njia yenyewe haijui
Njia nzima imejaa malori na speed ya malori inafahamika labda liwe halina mzigo ila kama limemanda mzigo ni chini ya 40km/h. Sasa wewe kama dereva wa bus utaenda na hiyo speed utafika lini?
Ndio maana tunasema njia ndio tatizo
Lakini pia katika hiyo ajali lililo kuwa na kasi ni bus maana lilikuwa kwenye njia yake, kwa inavyoonekana dereva wa lori ndio alikuwa aki over take na alikuwa katika mwendo mdogo ndio maana kawahi kubamizwa na bus
Kama unaelewa hapo ni kuwa kusingekuwa na msululu wa malori huyo dereva wa lori asingesababisha vifo vya hao wa kwenye bus, na mara nyingi njia hiyo ajali Huwa kati ya lori na bus hivyo basi ni vyema itanuliwe malori yapite barabara yao na magari mengine barabara yao ili kupunguza au kuondoa ajali za malori na mabus