Bachelor OG
JF-Expert Member
- Aug 27, 2022
- 1,195
- 1,472
MhhhhBerkane wanaanza na moto hapa.
Dakika 90Mjikute tu
Berkane Bingwaa💪💪💪🧡🤍🧡🤍🧡🤍🤍🧡🧡
Italainika tu, we subiriGame ngumu sana kwa Simba.
Mkuu unaangalia Mpira lakini?dakika ya 2. Ball possesion ni Simba 9 Berkane 891.
Jamaa wanataka kimoko wamalize zoeziMbona wanakuja kwa kasi View attachment 3345257
WatatuliaMbona wanakuja kwa kasi View attachment 3345257
Wasubiri tupate 4 kwanzaJamaa wanataka kimoko wamalize zoezi
Mbona ukijumlisha 9 na 891 jumla inazidi 100 ?dakika ya 2. Ball possesion ni Simba 9 Berkane 891.
Na kijana mdogo alimuua Goliath the giant, kisha wapwani wakaona "Penye nia pana njia". Kuwa na imani.Kila la kheri ila Mnyama ana kazi ngumu sana ,goli 3 kuwafunga berkane ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.
Tuna uhakikaKwa kujipa moyo hamjambo!
Polenii sana 🦁