Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,332
- 72,654
Hizi back pass za Simba naziogopa sana
Sawa dadaSimba wameanza kwa kasi dakika 18 za kwanza na hawajafanya chochote cha maana hata shot on target tu hakuna!
Ubaya ubwela....Mutale
Gooooool Mutale
SSC 1 - RSB 0
AGGREGATE 1-2
Chumaaaaaaaaaa