Deinstein 01
JF-Expert Member
- May 12, 2024
- 2,090
- 3,928
Bado mawili.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😃😀😄💪🤨🤨🤨😖😖😖😖😁
Bado sana subiri watu waondoke na Mtumbwi wakiwa wamenunaMechi Bado mbichi sana
Subiri wapigwe kamoja mlima uongezeke hapo ndio wataelewaKila lakheri watani, uzalendo kwanza💪
Gari la makaratasiMutale gari limewaka
Ulihisi tunadhani una wasiwasi?Sina wasi wasi najua hamtoboi
Subiri mpira uishe mnune mwaka mzimaSimba anakosa goli la wazi hapa.
Mmeanza kuigopa eeeMbumbumbu kimasihara wanaweza wakabeba
Shomari Kapombe hii chance ataililia sanaSimba anakosa goli la wazi hapa.