Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

Huyu Kapombe kakomaa hivi halafu eti anasema mwaka 93 alikua hajazaliwa!!
Kwa hiyo unabisha?
Screenshot_20250525-014614.png
 
Dakika 23'

SIMBA SC 1 - 0 RS BERKANE
VAR imekataliwa

Shomari Ali Kapombe akosa nafasi ya wazi kabisa kichwa cha kuchumpa mpira unatoka nje ya mtaamba panya
 
Back
Top Bottom