Daa😢Mjikute tu!!!!
Kila la kheri Berkane 🤍🤍🤍🧡🤍🧡🤍🤍🤍🤍💪💪😁
TulizaMpira huwa unadunda ila si kwenye maji. Mashabiki wa Simba leo kipigo kinawahusu.
siku hizi mmeshtuka hamuombi banRukeni ruken dk ya 90 waarabu tuna nyanyua kwapa
Kama ni mimba sawa ila sio kombe 😂Mtabinya sana pumbu Uto leo tunabeba
Lugha ipi hiyoKwa lugha nyingine mmeteseka mnooo.
Mmeshafanya yenu uwanjani. Berkane hapo, wanaona miguu kama imefungwa na mawe.
Ajaenda kuchekesha eti mkuu😂😂😂Anamtafuna mtu bila hurums
NAKAZIARukeni ruken dk ya 90 waarabu tuna nyanyua kwapa