ki2c
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 8,681
- 16,290
Wakipiga la pili hapo,inamaana magoli yanakua mawili kwa mawili,boli linasnza upya.Bado mawili hatuna wasiwasi watu tunaoona match mwisho kabla ya mwanzo
Wakipiga la pili hapo,inamaana magoli yanakua mawili kwa mawili,boli linasnza upya.Bado mawili hatuna wasiwasi watu tunaoona match mwisho kabla ya mwanzo
Nyuma mwiko bwanaHAMTOBOIIII
HAWATOBOI hata wapate Goli la kutangulia linarudi hiloHAMTOBOIIII
HayaSimba wameanza kwa kasi dakika 10 za kwanza na hawajafanya chochote cha maana hata shot on target tu hakuna!
Uto bwanaHAWATOBOI hata wapate Goli la kutangulia linarudi hilo
Gemu bado mbichi sana hiiNilisema, Mukwala na Mutale wakicheza Pamoja, Ushindi lazima.
Waambie wasichanganyikiweWaarabu wakichanganyikiwa tu,imekula kwao.
Kagoma ameshamtengua madevu huyu ndio mchezesha team. Akitokea huyu madevu, huku tall Camara amerudi nyuma ni faida kwetu.Wakipiga la pili hapo,inamaana magoli yanakua mawili kwa mawili,boli linasnza upya.
Hiyo rotation ya hapo mbele ni kiboko.Nilisema, Mukwala na Mutale wakicheza Pamoja, Ushindi lazima.
Hata hivo tusisahau ya Gwajima The Jabali
Usisahau upo tz sio uk simu itabebwakuna vibe sana hapa uwanjani.