Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 25,186
- 27,366
Tunataka tuzione medalikama wewe ni shabiki wa simba, nenda chumbani ukalale tu, hakuna kombe hapa.
Tunataka tuzione medalikama wewe ni shabiki wa simba, nenda chumbani ukalale tu, hakuna kombe hapa.
Poleniiiiiii!Tuna uhakika
Hii Tunabeba💪
Baadae usiyakane maneno yako.Poleniiiiiii!
Berkane sio Stelle 🧡🧡🧡🤍🧡🤍🧡🤍💪💪
Ndivyo alivyo...hatakomaChe Malone bado hajakoma na ule ujinga wake
Simba ni timu ya wala ubwabwa 😂Simba wameanza kwa kasi dakika 10 za kwanza na hawajafanya chochote cha maana hata shot on target tu hakuna!
Tunahitaji kufunga magoli sio shabaha kulenga goli 😂Simba wameanza kwa kasi dakika 10 za kwanza na hawajafanya chochote cha maana hata shot on target tu hakuna!
Waache sisi tunawataka uku ligi kuuMakolo mnapenda back pass
Kama CHAUMMA cha Hashim RungweSimba ni timu ya wala ubwabwa 😂
Hatari ilePale bila Camara sijui ingekuwaje View attachment 3345268
KabisaKama CHAUMMA cha Hashim Rungwe