Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

Leo Camala hasogei. Uso umejaa wasiwasi hii ni faida KWA Simba.
 
Che Malone bado hajakoma na ule ujinga wake
 
Simba wameanza kwa kasi dakika 10 za kwanza na hawajafanya chochote cha maana hata shot on target tu hakuna!
Tunahitaji kufunga magoli sio shabaha kulenga goli 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…