Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

Zanzibar Shimba hapati goli
simba.jpg
 
Lile ni goli,Camara kaokolea ndani,hapa hamna ushabiki,refa akienda kuangalia v.a.r ataona tu.goli la wazi kabisa
 
kama sio refa walikuwa wamesha tepeta.. refa msengerema sana.
 
Komba wetu anatutafutia penati makolo mrudi kariakoo mkadai hela kwa waganga wenu
 
Back
Top Bottom