Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,495
- 185,562
Poleniii..... Sio kwa kujipa moyo hukoooo!!Bado haamjasema
Berkane Bingwaa 🧡🧡🤍🧡🤍🧡💪🧡🤍🤍🧡🧡💪💪💪💪
Poleniii..... Sio kwa kujipa moyo hukoooo!!Bado haamjasema
Au sio chura?Tulieni alivyokuwa anafanya komba kwa mashujaa wote mlifurahia, mungu siku hizi hapotezi muda analipa faster tu
Ona hiii churaLile ni goli,Camara kaokolea ndani,hapa hamna ushabiki,refa akienda kuangalia v.a.r ataona tu.goli la wazi kabisa
Na mashujaa mlikuwa mnashangilia tu. 😁😁😁Kwani Jamani Zimeongezwa Ngapo mbona Naona Inaenda dakika Ya 8 sasa
Hili tatizo najiuliza naliona peke yangu au!? Mabeki hawaruki kabisa, mipira yote ya juu wanaruka washambuliaji wa Berkane! Kuna shida kubwa kwenye mipira ya juuMabeki wetu hawaruki mipira ya juu
Dakika Zimefika 12 Za NyongezaNa mashujaa mlikuwa mnashangilia tu. 😁😁😁
Sema suPoleniii..... Sio kwa kujipa moyo hukoooo!!
Berkane Bingwaa 🧡🧡🤍🧡🤍🧡💪🧡🤍🤍🧡🧡💪💪💪💪
Huyo ni wewe bro unanyooshwa na Kalpana kolo mwenzako.Yani hili kombe tutachukua kwa tabu sanaView attachment 3345367
Unajicho la mpira mkuu, Ahooua leo kocha anapaswa amsub mapema sana.Yafuatayo yakifanyika Simba atabeba kombe
1. Simba waepuke kusababisha Kona
2. Kipa wa Simba asibutue mpira anapoanzisha mpira.
3. Ahooua hayuko mchezoni leo afanyiwe sub, wengine waendelee