Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

Kupitia maamuzi ya refa ninayayaona dhidi ya wachezaji wa Simba
nimegundua kwa nini wazungu huwa wanatuona waafrica nyani. Refa kwa kushirikiana ma wachezaji wa Berkane wanaamua kuwatoa Simba mchezoni yaani wanachofanyiwa Simba ni kama wapo ugenini. Mimi ni Yanga ila sijapenda anachofanyiwa mtani.
Na hili ameanza mara tu Simba kupata goal
 
Leo ndio siku ambayo Golikipa Kamara atakuwa adui wa watu. Mistake 2 hadi sasa keshazifanya.
Huwezi ukacheza mpira ukawa perfect 100%. Hivi umeona mistake waliofanya Berkane na kutomkaba Mutale??!! Yaani Mutale amefunga goli akiwa ame-relax. Sasa pata picha hilo tukio kingekuwa upande wa Simba!! Nadhani tungelaumu sana. N.B Huwezi kuwa makini 100% unapokuwa uwanjani. Ndio maana magoli yanapatikana.
 
Rs Berkane bingwa 😂😂😂 usipotaka meza wembe.
 
Second half tupate goli lingine la mapema tena litamfanya mwarabu arudi nyuma kuzuia na hapo ndio tunamfanyia ukaksi
FB_IMG_1748124981795.jpg
 
Refa hayupo upande wetu so wachezaji wakaze hapo
 
Back
Top Bottom