Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

Leo sio siku ya kukosa kombe ila mistake ndogo ikifanyika tu tumekwisha ,,,kama ile ya kapombe sielewi kwanini haijawa goli dah
 
Kamati ya roho mbaya wamejaa kwenye huu uzi..
Simba hata asipopata ubingwa hii game anashinda.
 
Huyu refa ubaya ubwela walimsifia sana akiichinja yanga pale SA na Yanga wanaenda wakamtukana hadi acc ikajaa
Sasa analipaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…