Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

Na hili ameanza mara tu Simba kupata goal
 
Leo ndio siku ambayo Golikipa Kamara atakuwa adui wa watu. Mistake 2 hadi sasa keshazifanya.
Huwezi ukacheza mpira ukawa perfect 100%. Hivi umeona mistake waliofanya Berkane na kutomkaba Mutale??!! Yaani Mutale amefunga goli akiwa ame-relax. Sasa pata picha hilo tukio kingekuwa upande wa Simba!! Nadhani tungelaumu sana. N.B Huwezi kuwa makini 100% unapokuwa uwanjani. Ndio maana magoli yanapatikana.
 
Rs Berkane bingwa 😂😂😂 usipotaka meza wembe.
 
MPANZU,MUTALE,KIBU...Huu utatu ukitokea leo Mnyama ananyanyua kwapa.
 
Second half tupate goli lingine la mapema tena litamfanya mwarabu arudi nyuma kuzuia na hapo ndio tunamfanyia ukaksi
 
Refa hayupo upande wetu so wachezaji wakaze hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…