ProcrastinatorInChief
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 13,027
- 29,556
Wanangu wa Simba Ni Kuongeza Goal Jingine Halafu tunapack
Na ndiye man of the matchHuku CAF hakuna Kefa Kayombo wala Tatu Mwalongo.
"Hili tunabeba!" kocha wa Berkane👿Timu yangu Berkane nawaomba mpark bus. Kombe tunanyanyua kwenye ardhi yao.
#Berkane Bingwa
#The Orange Boyz
🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡
Tumekubali, kombe tunalipeleka kwetu Morocco. Nyinyi kuja kufika tena fainali, 2070 hukoNa refa akiwa man of the match.
Ila leo man of the match niiii.... Malizia, hahahaTumekubali, kombe tunalipeleka kwetu Morocco. Nyinyi kuja kufika tena fainali, 2070 huko
Hili ni letu 🧡🧡🧡Ila leo man of the match niiii.... Malizia, hahaha
Kagoma kacheza vizuri.Sema Kagoma naye alikamia sana akapunguza matumizi ya akili
We ungeweza wakat umewaambia kombe laoKocha wa Simba akitulia kama mwenzake kuna shida gan