Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

Huwezi ukacheza mpira ukawa perfect 100%. Hivi umeona mistake waliofanya Berkane na kutomkaba Mutale??!! Yaani Mutale amefunga goli akiwa ame-relax. Sasa pata picha hilo tukio kingekuwa upande wa Simba!! Nadhani tungelaumu sana. N.B Huwezi kuwa makini 100% unapokuwa uwanjani. Ndio maana magoli yanapatikana.
Nimekutoa kwenye list ya Mbumbumbu.
 
Ahadi ya dola laki moja inawafanya Simba wacheze kimakirikiri badala ya kufuata kanuni na taratibu za mchezo.
 
Refa kuwaharibu FAINAL...ni aibu lakini hata goal angekataa
 
Sawa bora Berkane anyanyue kwapa. Hamna mvuto wa mpira. Kombe letu hili, na kafara za wale mbuzi wasio na hatia ni kazi bure.

Berkane bingwa
🧡🧡🧡🧡🧡🧡
Na refa akiwa man of the match.
 
Back
Top Bottom