G
guest-1787677255
Guest
Aiseeeee. Kwisha habari.Hii ndo maaana halisi ya UBAYA UBWELA
Aiseeeee. Kwisha habari.Hii ndo maaana halisi ya UBAYA UBWELA
Mmeanza, mmeanza baada ya kuona maji yamezidi unga. Mnatafuta sababu ya kutokea. Refa kazia hapohapo🧡🧡🧡Refa wao.
HayaYuko sahihi kabsaa Kagoma kaonywa sana
Kagoma kaonywa sanaHuyu mwamuzi lazima tumshenyente.
Ajichunge sasahata kapombe ana Kadi
0670-000-000 pigamwenye namba ya miamala ya refa naomba.
Kauli mbiu yao inawetesa leoKipigo kipigo kipigo kinawanyemelea
Man of the match refaMmeanza, mmeanza baada ya kuona maji yamezidi unga. Mnatafuta sababu ya kutokea. Refa kazia hapohapoa🧡🧡🧡
Imeisha hioFixed match
Bado hamjasema😁😁Man of the match. Refaree.
Matusi hayasaidii mkuu. Refa anawaumiza kwa kweli. Huyu si ndiye aliyechezesha mechi ya Yanga na Mamelod au?Aaaaaah ******** huyu refa
Kipigo kipigo watarudi na Mtumbwa namba ngapi tukawaapokee pale Station?Kauli mbiu yao inawetesa leo
Mshapigwa tayariFixed champion