UBAYA UBWELA 🤣🤣Fixed match
Mwingine awekewe nyekundu wabakie 9 au sio?refa tembeza umeme.
Man of the match refaShida makolo wameshazoea kuchezeshwa na Keffa Kayombo mambo kama haya huwa wanaona wanaonewa
Wanafungwa hivi hiviMatusi hayasaidii mkuu. Refa anawaumiza kwa kweli. Huyu si ndiye aliyechezesha mechi ya Yanga na Mamelod au?
Bado hamjasema...Man of the match refa
NAKAZIAHuyu refa kumamae
Jan-shale-auwaNgoma imewamba