Nipo hapa Casablanca, tuchekiane 🧡🧡🧡😊kumbe homeboy kabisa, mi nipo hapa Rabat we wapi?
Daah! Kmmke😅😅Ni yeyeee
Aibu tupu...Ila afrika hakuna soka Kuna vioja
Hapa tunaangalia vioja sio mpira
DuuuhNi yeyeee
Jamaa nilikuwa nakuona shabiki mwenye akili kule kwenye mipira ya nje kumbe linapokuja suala la simba na yanga ni shabiki andazi kiasi hikiShida makolo wameshazoea kuchezeshwa na Keffa Kayombo mambo kama haya huwa wanaona wanaonewa