Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,712
Ubao unavyosoma ndiyo hivyo. Hakuna cha refa, ndiyo muone ili siku nyingine mpunguze kamdomo.
#Hili ni letu Berkane
🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡
#Hili ni letu Berkane
🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡
Kwakwakwaaaaa 1-1 = 1-3Wametuchomolea
Wajuaji wengiMnaokuwaga mnamlaumu kocha kutofanya subs mnaona hao walioingia wanachokifanya humo uwanjani?
KwakwakwaaaaaOvaaaaaaa
Hahaha