Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,527
- 14,881
Mechi ipo Simba anaongoza 1 cha ajabu hana furahaHakna mechi tena hapa
Mechi ipo Simba anaongoza 1 cha ajabu hana furahaHakna mechi tena hapa
WametuchomoleaHili tuna beba alooh
Bado 1-2Lile Kundi La Kuteka Lijiandae Refa asiondoke akiwa Mzima
Tupo nao pamoja sisi mashabiki wa BerkaneHAMTOBOIIII
Hujaona Tumenyimwa GoalMechi ipo Simba anaongoza 1 cha ajabu hana furaha
Ujinga huu unao endeleaAfrika tuna safari ndefu sana
Nachangamsha genge tu.Tumia akili mkuu,ushabiki usikufanye uwe kichaa
Unapendekeza akatupwe msitu wa wapi? Mwanakwekwere ama? 😳Refa asiondoke ardhi ya Tanzania akiwa hai.
Cry more.. huwa tukisema mnatuona wajinga ila mambo ya kubebwa bebwa yanawalemaza sanaNa ndiye man of the match
Kwa jinsi refa alivyo serious, fresh tu bora nimeshangilia hata kama wamekataa, kuna level of happiness mwili wangu uliexperience.Kwakwakwaaaaaa Offside