mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,566
- 10,623
Kwenye ardhi yetu😭😭
Refa mbona yupo fear sanaIkifika dakika ya 90, huyu refa apigwe uwanjan na moja ya mchezaji tujue moja
Uwanja wetu, nchi yetu na anakosekana kijana mmoja aruke uwanja na kwenda kumlamba kibao huyu refa?Huu mchezo refa ameuharibu vibaya sana
Uchawi hauvuki bodaRefa MJINGAAA sana aSijapata Kuona Refa Mpuuzi kama Huyu sasa Ngoja Nipngee na Wazee wangu Wa Kikojani Tumngoe Korodani
Mimi huwa sibeti refa msengeAmechana mkeka wako
Inatakiwa kijana mmoja aruke ukuta na kwenda kumkata mtama au kumlamba kibao huyo refa.Mwamba huyu hapa ndio aliyechezesha mechi ya Mamelodi na Yanga
Mkuu wewe chagua vile unavyotaka kuniona. Hakuna namna nitabadilisha uhalisia wanguJamaa nilikuwa nakuona shabiki mwenye akili kule kwenye mipira ya nje kumbe linapokuja suala la simba na yanga ni shabiki andazi kiasi hiki
Muangalie mnyama akicheza pungufu na timu mliyoisifia ni ngumu mno. Mengine ni matokeo.Cry more.. huwa tukisema mnatuona wajinga ila mambo ya kubebwa bebwa yanawalemaza sana
Yanga walionewa hivi hivi south.Simba tunalakujifunza, Referee sio Mtu wa kuamini hata kdg .
Unaangalia Mpira au UnaropokaUchawi hauvuki boda
Kwahiyo ukicheza pungufu unataka uonewe huruma?Muangalie mnyama akicheza pungufu na timu mliyoisifia ni ngumu mno. Mengine ni matokeo.
Mtaji wenu CCM huo. 😁😁😁Unaangalia Mpira au Unaropoka