Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 22,502
- 48,479
Muangalie mnyamaaaaKwahiyo ukicheza pungufu unataka uonewe huruma?
Muangalie mnyamaaaaKwahiyo ukicheza pungufu unataka uonewe huruma?
Kwa hiyo refa kawalipizia?...Yanga walionewa hivi hivi south.
Chap. HahahaNBC hili goli la pili lilikua lishaesabiwa 🤣
Kwa sababu lilikuwa ni Goal IlA refa makusudi kalikataaNBC hili goli la pili lilikua lishaesabiwa 🤣
Refa, kawa kama keffaKwa hiyo refa kawalipizia?...
Ile ilikua offside mkuu hauoni vizuriVAR ipo ila refa hatak kwenda kujiridhisha aiseee
W3 Unakoelekea NtakutukanaMtaji wenu CCM huo. 😁😁😁
ile ni clear offside mkuuuKwa sababu lilikuwa ni Goal IlA refa makusudi kalikataa