Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

SSC 3- RSB 0
HII TUNABEBA IN SHA ALLAH
 
Kila la heri timu yangu pendwa RS BERKANE, hakika tulihama sana timu na sasa tumeipata ile timu ya kutukomeshea ule ujinga wa kuongeza dkk 15 na marefa.
 
Wakifungwa nitafurahi sanaaaaa wakishinda nitafurahi kinafiki
 
Lolote baya liwakute maana ni wezi, 250k yangu hawataki kuniridishia. Siwezi support majizi
 
This nonsense and bla bla of kimataifa will endup today.
 
Hii game hainipi presha wala hofu kabisa. Najiona ni mtu wa amani kabisa. Sio kama baadhi ya mechi. Bila shaka ushindi upo upande wetu.

Simba guvu moyaaaaaaa..ubayaaaaa ubelaaaaaa in Infantino voice.
 
Nasubiri pira mwana ukome, lile pira sio mchezo wakuu, hadi mimi nilitetemeka.

Tukimaliza hapa Berkane wakishabeba kombe lao turudi kuzungumza kama nchi na sisi tutafika lini level ile?
Tukutane tarehe 15 Juni 2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…