Kila mtu na level zake. Nyie mnawaonea mashujaaa. Wacha na nyie muoneweToka mwanzo refa ametutoa mchezoni.
SimbaSC NguvuMoja
Kila mtu na level zake. Nyie mnawaonea mashujaaa. Wacha na nyie muoneweToka mwanzo refa ametutoa mchezoni.
SimbaSC NguvuMoja
Nenda kapikeAahah. Inahitajika uchawi wa niger
Mimi nipo DSTV commentator wanaongea kingereza wako fair sana. Binafsi mechi kama hizi napenda kuwasikiliza commentator wa kisauzi au yule mgandaMtangazaji hana mzuka tena 🤣🤣🤣
Hurrayyy 🧡🤍🧡🤍🧡🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺💪💪💪💪💪
Hata Ulaya marefa wanalaumiwaTanzania tumekuwa tunalaumu ma-refa kila tunapofungwa tangu miaka ya 1980........ Hatujui mpira badala ya kujifunza tunadhani mambo yanakuja yenyewe.